Je ni kweli blackberry inapoteza mvuto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli blackberry inapoteza mvuto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NEW NOEL, Oct 21, 2011.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hilo halina ubishi hata hspa dar ipad na sumsug zimeiacha mbali sana
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Majority ya elites wa TZ wanatumia BB services.
  Hiyo analysis yako sikui utakuwa umeifanyia Tandale au kwa Mtogole!
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Blackberry imekua Yebo yebo.. Kama una pesa yako bora uchukue android, au nokia n9 or x8.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukiona imekuwa hivi ujue inapendwa na inatumika sana. Ukikutana na mtu badala ya kukuomba namba yako ya simu anakuomba Blackberry PIN yako.
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mimi mwenyewe nimeachana nayo kwani sikubahatika ijapokuwa nimewahi kuwa nazo mbili zilinipa matatizo (siyo za kichina ni orijino).

  Na hili tatizo la wiki mbili nyuma la kupoteza mawasiliano ya internet limeiletea balaa zaidi duniani.
   
Loading...