N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 6 Oct 1, 2013 #1 Wanajf ni kweli kuna mchawi? Eti ukirogwa unaugua ?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,795 Reaction score 22,767 Oct 2, 2013 #2 Yap ni kweli kuna mchawi. Na ni kweli ukilogwa waweza ugua. Kuzulika au kutozulika na uchawi yategemeana na imani yako. Je hujawahi sikia simulizi za maswala ya uchawi?.
Yap ni kweli kuna mchawi. Na ni kweli ukilogwa waweza ugua. Kuzulika au kutozulika na uchawi yategemeana na imani yako. Je hujawahi sikia simulizi za maswala ya uchawi?.