je ni kweli alivyoimba remmy...siri ya usingizi ni mke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ni kweli alivyoimba remmy...siri ya usingizi ni mke?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fundiaminy, Jul 5, 2009.

 1. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani c utani.mwaka wa kwanza nilipooa nilikuwa naweza piga raund kama nne hivi na my wyf.lakini baada ya mwaka ama miwili shoti moja tu nalala kama gogo.je? wadau niko peke yangu ama hiyo ndio siri ya usingizi??
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Utamu wa njugu ni kula moja moja..

  LOL!
   
 3. C

  Cryptanalyst New Member

  #3
  Jul 6, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka wa2 tulianza kwa mbwembwe.....nikitoka kazini kabla ya kula msosi wa usiku kimoja, kwenda kukoga bafuni tunakwenda wote, kimoja. kabla ya kulala kwenye saa 4 hivi, malavidavi + kimoja. usiku wa saa 8-9 hivi kimoja. asubuhi kabla ya kuoga na kuelekea kazini, kimoja. kwenye daladala full kulala njia nzima wakati ndo kwanza kunakucha.

  sasa hivi tuna ka-baby.

  uliza. saa 4-5 usiku kimoja mpaka asubuhi babake. na nikitaka cha pili lazima aikoroge kama simu za mezani za zamani.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hii thread ikiendelea bila hali ya hewa kuchafuliwa tutafaidika wengi. Ukweli ni kwamba hupo peke yako fundiaminy,... hivi ni kwanini? :D
   
 5. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo ndio ndugu na bwana mbu natatanika.cjui nini hasa kiini.na zaidi nahofia kutumia madawa ya kuongeza nguvu kwani naambiwa fainali zake uzeeni.
   
 6. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  afadhali jamani,kumbe wengi mambo yanakuwa hivi,maana nilishaingiwa na wasiwasi ,MR kapata ....
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...tukiendelea na mjadala huu kwa heshima na taadhima kidogo kidooogo tutapata suluhisho kwanini ukiwa uwanja wa ugenini (nyumba ndogo), stamina inaongezeka kuliko uwanja wa nyumbani! :D
   
 8. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahaha.mbu sasa unaleta point nyingine safi.lakini je,kawaida kinacholiwa kwa siri c huwa kitamu zaidi?na vile hakiliwi kila cku.ama tuseme mawyf zetu wanaisha ladha kadri cku zinavyosonga?
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ha ha ha, nikisema ndio nitakuwa nimejichongea!

  ...ohooo, sasa huko mie siko! :)
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mazee ni baiskeli hio mpaka uisimamie namna hio?
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa ambao hatujaoa bado darasa zuri sana hapa
  we learn b4 we practice
  Duh! kweli ndoa ina kazi
  Ndio maana jamaa yangu mmoja ameoa siku moja tulikuwa road siku ya jumamosi zikapita kama HARUSI tatu hivi maeneo ya Ubungo akaniambia hawa na matarumbeta yao kilichomo humo ndani ya ndoa ni kichefuchefu tupu.
  Now am getting him
   
 12. afkombo

  afkombo Member

  #12
  Jul 6, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Dah wakuu tunashukuru kwa Topic lakini kidogo mtatutisha, maana wengine ndiyo tunataka tuignie ndoani.Haya lakini huenda kabla hatujaingia likapatikana suluhisho.Atakayepata suluhisho jamani aliweke wazi wengine tukiingia tuwe tunajua jibu kabla ya swali.
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  shangaa sasa mkuu..tusifananishe quality na quantity, nadhani wenzetu wanapenda kitu quality..chenye kuonyesha uzoefu...na sio mambo ya fasta fasta tu kumbe huna lolote unalifanya...
   
 14. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2009
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah wakuu tunashukuru kwa Topic lakini kidogo mtatutisha, maana wengine ndiyo tunataka tuignie ndoani.Haya lakini huenda kabla hatujaingia likapatikana suluhisho.Atakayepata suluhisho jamani aliweke wazi wengine tukiingia tuwe tunajua jibu kabla ya swali....hahaha..mkuu pole kwa kutishiwa lakini kuwa uyaone na kumbuka kwa muoga kicheko kwa shujaa kilio.
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ukitaka kuujua uhondo wa ngoma uingie uicheze, mnatishika na nini bana, fanyeni fasta fasta kuingia utamu usije kumalizika kabsa kabisaaaaaaaaa!
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Wakuu mi nadhani tunasahau au tunakosea kitu kimoja. Kumjuua mpenzi/mke wako ni muhimu sana

  lwa mfano , enzi hizo za 'ujana wako' ukichunguza, utakuta sawa ulikuwa unapiga 'bao nyingi' lakini sio za kiufundi na kwa hiyo ulikuwa pengine humfurahishi/fikishi mwenzi wako,

  Ni bora mara mia ukapiga bao moja la kiufundi, la muda mrefu, tamu, ambalo wakati wewe unafika mara moja, wa 'ubani' wako anakuwa ameshafika hata zaidi ya mara moja/mbili/tatu kutegemea na hali halisi ya mazingira.

  Kuna suala pia la wewe kumwona mke wako kama 'mama watoto' ambayo kwa upande wangu ni kosa kubwa...endelea kumwona kama ni mpenzi wako, mpya kabisa, na mnaendelea kufanya 'kila kitu' ambacho kilikuwa kinafanyika kabla ya kupata watoto..namna hiyo mtakuwa na raha na 'mood' ya kufanya mapenzi itaendelea kuwepo.
  Ukijifanya kuwa sasa uko busy na kazi, eti na watoto wapo sasa inabidi ada za shule, mara ujenzi wa kibanda, mara nini, utajikuta unakuwa na msongo wa mawazo (stress) na bahati mbaya hivi vitu haviendani linapokuja suala la mapenzi.

  Sisemi kuwa tusiwajibike, ila tuwajibike tukijua kuna wajibu mwingine unatusubiri unaohitajin ulinganifu wa majikumu ya kawaida na ya kitandani.

  Niseme kwamba mkuu fundi huna tatizo, ni kiasi tu cha kubadili 'mfumo wa maisha', na kupiga bao nyingi sio afya wala ufundi, ufundi ni kumridhisha mwanamke...eeeeh.....hapo ndipo uanaume wako unapoonekana!

  Mkuu Mbu hebu ongezea kidogo chukua kipaza sauti..............
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kinachokatisha tamaa siku unapokuwa na kastamina ka kucheza extra minutes mama nanihii ananyosha kibendera juu, "...mnh, imetosha kha!"
  bora hivyo hivyo, 90mins halafu usingizi mworrrrrroooo ro!
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyo wa hivyo anakuwa hajafurahia mechi, mbona wengine tunatamanishwa kuendelea usiku mchana, yaani gemu lisiishe? lazima kunakuwa na tatizo mahali!
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...No comment, Anything I do say may be used against me in a court of law :D
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Sawa sawa nimekusoma, inaonekana hii kitu ni tata sana
   
Loading...