Je, ni kweli 3,000,000/= ni kubwa kwa kulipia Mahari tu?

Ujinga tu,alietoa bikra katolea kwenye jumba bovu bureeee,ndo alokula kitu kizuri,wewe unamalizia makombo 3milioni? Mnaaona sawa one I sawa ,ila Mimi Kama wanavyosema a Hindi,n
NEHI NEHi(hapana,hapana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu ulivyopita mwaka 1990, hamna mwanamke mwenye thamani ya milioni 3. Waondoe sifuri moja kwenye huo muamala, vinginevyo aachane naye achukue mwingine
Wameoa tyr na tumefurahia ndoa, kitu simple kabisa. Aende akachague mwngne wapi ss na wakt uwezo wa kutoa anao na wanapendana?
 
Kama mwanamke nilimkuta bikra naweza lipia hata million 10, lakin ikiwa alishatobolewa na wengine, laki 5 itawatosha. Kuhusu kuongeza itategemeana na jinsi gan anaiheshim ndoa yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikra finyu kabisa, kwani bikra ndy kitu gani?. Ndo nyie ambao mnakuja kuoa hawana bkr zote kwa kubambikiwa bikra za kichina.
 
Fikra finyu kabisa, kwani bikra ndy kitu gani?. Ndo nyie ambao mnakuja kuoa hawana bkr zote kwa kubambikiwa bikra za kichina.
Wameoa tyr na tumefurahia ndoa, kitu simple kabisa. Aende akachague mwngne wapi ss na wakt uwezo wa kutoa anao na wanapendana?
Mbona kama una jazba bibie? Ipi inakuhusu kati ya hizi:
1. Umeolewa bila mahari
2. Nonino yako ndio ilitolewa bure kwenye jumba bovu
3. Singo Mazeri au
4. All of the above?

By the way, unauliza bikra ni nini? No matter you gave it away easily sababu hata hujui thamani yake.
 
Wewe ni mjanja na hii ndio halali kabisa
Wakati nataka kuoa nkamwambia mchumba wangu nataka kuja kutoa mahali kwenu.
Nikamwambia hela nliyonayo haizidi laki 5, kwahiyo wapange kabisa ndugu zako na uwaeleze hali halisi.

Na nikampa msimamo kwamba wakipanga hela zaidi ya hii niliyonayo mimi sitatoa na itabidi tuachane, sasa wewe kama hutaki nikuoe zubaa

Kesho yake alimpigia babaake mdogo akamweleza huku analia, babaake akamwambia mwambie aje tu haina shida.

Tulipoenda wakakomaa eti tutoe milioni 2. Mimi nikamwambia mshenga wangu tuondokeni. Tulipoanza kuondoka acha binti aangue kilio.

Wakatuita tukaongea ongea wakasema tutoe milion 1.2, tukawambia sawa tukawapa ile laki 5 hizo zilizo baki ntawapa nikifisha utajiri kama wa Billget, na afterall mahali huwa haiishi.

Binti ana nafasi kubwa sana ya kukomaa ili utoe mahali kidogo maana ile siyo bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama una jazba bibie? Ipi inakuhusu kati ya hizi:
1. Umeolewa bila mahari
2. Nonino yako ndio ilitolewa bure kwenye jumba bovu
3. Singo Mazeri au
4. All of the above?

By the way, unauliza bikra ni nini? No matter you gave it away easily sababu hata hujui thamani yake.
Ahahaha sina jazba mkuu, na vyote ulivyovitaja apo juu hakinihusu hata kimoja. Bali tunaangalia utu na jins watu akili zao wanavyofikiria mambo kinyume.
 
Unatoa milioni 3 halafu mwanamke mwenyeee ana miaka 27-30 ameshaanza kukata ringi Mungu akinisaidia mimi natoa milioni 2 kama mahari...kama hawataki sio lazima nioe
Ahahaha mahari ni uwezo wa mtu mkuu. Ata elfu hamsini ni mahari. Alimradi tu kuwe na makubaliano kati yenu bs.
 
Ahahaha sina jazba mkuu, na vyote ulivyovitaja apo juu hakinihusu hata kimoja. Bali tunaangalia utu na jins watu akili zao wanavyofikiria mambo kinyume.
Sasa kama tunaangalia utu jamani, haya mambo ya kuuzana yanatoka wapi? Mahari ni jambo tu la kimila/ kiitikadi kama tu namna ya kuonesha heshima kwa unaowaolea binti yao, sasa inapokuwa millions halafu uje kunipikia chapati ngumu kuliko maisha hayo sio mauzauza?
3m is too much for dowry sake
 
Mahali inategemea na uwezo wa Muoaji na pia wazazi wabinti wanapaswa kuongea na binti yao kujua mumewe mtarajiwa anaweza kutoa kiasi gani.
Milioni tatu kwa mlinzi anaelipwa laki moja kwa mwezi ni fedha kubwa sana na uwezekano wakuipata ni mgumu lakini hiyo milioni tatu kwa mfanyabiashara anayeingiza milioni miatatu mpaka milioni miatano kwa mwezi kwake itakua ni fedha ndogo Sana.
Mahali mara nyingi binti anapaswa kutoa ushauri kwa wazazi kiasi ambacho mchumba wake anaweza kumudu walau kupunguza.
Kama wazazi hawatazingatia ushauri wa binti yao basi Watakua hawaelewi mahali ni nini na niwaroho sana wa fedha wasio hata na utu au hawampendi Kijana anaetaka kumuoa binti yao hivyo wanamkomoa.
Pia mahali nimakubaliano mkishafika mtatoa mlichonacho na mambo mengine yataendelea, Kama familia itakataa kwa Kidogo mlichonacho hufai kuoa familia ya mtindo huo labda ulazimishe na madhara yake utaanza kuyaona punde baada ya ndoa.
Hakuna mahali ndogo wala kubwa, inategemea na uwezo wa kiuchumi wa Muoaji na uwezo pia wa kufikiri Wa muoaji mintarafu ushawishi wa binti anayeolewa kwa familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama tunaangalia utu jamani, haya mambo ya kuuzana yanatoka wapi? Mahari ni jambo tu la kimila/ kiitikadi kama tu namna ya kuonesha heshima kwa unaowaolea binti yao, sasa inapokuwa millions halafu uje kunipikia chapati ngumu kuliko maisha hayo sio mauzauza?
3m is too much for dowry sake
Asa km umeenda kuposa mkuu na wenye mtt ndy washakutajia ivyo utafanyaje?, mahari ni uwezo wa mtu na ni jambo la kimila. Linapangwa na upande wa mke unapoenda kuoa, utakachokikuta ndicho icho icho. Si lzm ajue kupika chapati. Kwn wote wamewaoa wanawake wanaojua kupika chapati mkuu ahahh
 
Mahali inategemea na uwezo wa Muoaji na pia wazazi wabinti wanapaswa kuongea na binti yao kujua mumewe mtarajiwa anaweza kutoa kiasi gani.
Milioni tatu kwa mlinzi anaelipwa laki moja kwa mwezi ni fedha kubwa sana na uwezekano wakuipata ni mgumu lakini hiyo milioni tatu kwa mfanyabiashara anayeingiza milioni miatatu mpaka milioni miatano kwa mwezi kwake itakua ni fedha ndogo Sana.
Mahali mara nyingi binti anapaswa kutoa ushauri kwa wazazi kiasi ambacho mchumba wake anaweza kumudu walau kupunguza.
Kama wazazi hawatazingatia ushauri wa binti yao basi Watakua hawaelewi mahali ni nini na niwaroho sana wa fedha wasio hata na utu au hawampendi Kijana anaetaka kumuoa binti yao hivyo wanamkomoa.
Pia mahali nimakubaliano mkishafika mtatoa mlichonacho na mambo mengine yataendelea, Kama familia itakataa kwa Kidogo mlichonacho hufai kuoa familia ya mtindo huo labda ulazimishe na madhara yake utaanza kuyaona punde baada ya ndoa.
Hakuna mahali ndogo wala kubwa, inategemea na uwezo wa kiuchumi wa Muoaji na uwezo pia wa kufikiri Wa muoaji mintarafu ushawishi wa binti anayeolewa kwa familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa, umeongea ukweli kabisa mkuu
 
Nilitoa 1.5milioni kati ya 2.5milion kuna siku mchumba akapigiwa simu na mama mkwe akisema hatorusu harusi tusipomaliza mahari..kwa hasira mchumba akatoa pesa yake akamtumia hiyo 1m narudi kutoka job namkuta mchumba analia kuulizia na nikakuta kisanga hicho.
Kwasasa maisha yanasonga..tukiwa vizuri wazee tunawatumia pesa ya mafuta ya kuzunguka mjini siku zimasonga.
 
Back
Top Bottom