Je, ni kweli 3,000,000/= ni kubwa kwa kulipia Mahari tu?

Vijana wengi wa sasa wanahitaji kaka kama wewe.
Mimi ni mwanamke na nilitolewa mahari.
Ilikua juu kidg ya hiyo 3m japo sikupenda ila ni utamaduni...Sikupenda kwasababu naona saa nyingine ni kama kumkomoa "bwana harusi" kwasababu mbali na mahari anajukumu kubwa la kugharamikia harusi despite kwamba anapata michango. Harusi ina gharama
Ila mahari kubwa pia itafanya mtu amthamini na kumpenda mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Mil.3 kwa uzuri gani. Kwa uspecial gani kwa ubikira gani. Wasichana wengi mitumba siku hizi. Kuoa ilikua zamani bwana demu hajui nyingine zaidi ya yako na anazeeka nayo!!
 
Mil.3 kwa uzuri gani. Kwa uspecial gani kwa ubikira gani. Wasichana wengi mitumba siku hizi. Kuoa ilikua zamani bwana demu hajui nyingine zaidi ya yako na anazeeka nayo!!
Kua kwanza ukifika ukubwani utaelewa mengi.
Kama thamani ya mwanamke kwako ni bikra utawekewa ya kichina. Thamani ya mwanamke ni zaidi ya bikira yake na ndio maana wengine wanatoa zaidi ya hiyo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa ni mtizamo wako sawa! Ila nikwambie kutoa mahari nyingi uhusiano wake na ukatili ni wa kimtazamo tu hivo hivo, ukatili ni hulka! Mtu anamfanyia mwanamke ukatili hata Kama hajatoa Kumi!
Kwa mtizamo wangu , mwanaume mahari kulingana na uchumi wake, sio unatafuta hela mwaka mzima tena kwa kujibana ili tu uonekane umelipa mahari kubwa , alafu watu wanaotoa hela mingi huku maisha yao magumu ndo mke akikengeuka hufanyaga maajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshashuhudia hv karibuni ndoa km 4, na zote mahari ni milioni 3 na kuendelea na wanatoa vzr kiroho safi kabisa.

Haumnunui yule mtu lkn ni kitu ambacho tumekikuta ktk jamii zetu km shukrani kwa kulelewa huyo binti mpk umri huo na ukamuona ukataka kumuoa. Mana anayoenda kukufanyia ni bora sana.

Mtu muelewa na anazo anatoa tu. Wanaolia lia ndo hao wasiojiweza na hawana uelewa huyo binti mpk anamuona na kumtamani bs ametunzwa na kulelewa vzr na wazazi wake. Atoe achukue mke huyo aache kusita sita.
Tangu ulivyopita mwaka 1990, hamna mwanamke mwenye thamani ya milioni 3. Waondoe sifuri moja kwenye huo muamala, vinginevyo aachane naye achukue mwingine
 
sijui hata kwa nn makitu kitu kama mahari yamewekwa ili kutuchanganya tu. kama wamemsomesha hata wazazi wa mwanaume wamesomesha alafu ndani mtu unakuja kupelekeshwa mpaka unaanza kujenga ukwenu
 
Dhana ya mahari ni ngumu sana kuielewa! Kuna wakati wanawake wanasema ndo inawafanya wanyanyasike (?) Sina hakika na hili, maana hata ambao hawajatolew wananyanyasika tu! Lakini mahari ikipangwa, ukimwambia baby mbona nyingi? Kama unanipenda toa tu babie!
sijui hata kwa nn makitu kitu kama mahari yamewekwa ili kutuchanganya tu. kama wamemsomesha hata wazazi wa mwanaume wamesomesha alafu ndani mtu unakuja kupelekeshwa mpaka unaanza kujenga ukwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwanamke nilimkuta bikra naweza lipia hata million 10, lakin ikiwa alishatobolewa na wengine, laki 5 itawatosha. Kuhusu kuongeza itategemeana na jinsi gan anaiheshim ndoa yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom