Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyaralego, May 23, 2009.

 1. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This question is in no way meant to embarass or demean or offend any one.
  If i'm not politically correct in my question, forgive my audacity and just ignore the question.

  However, swali langu ni...

  Je ni kwasababu gani wanaume wengi wako obsessed na the back side of a woman aka booty aka a*** aka patuty aka bumbum and all those names that have beened coined to to say just one part of a womans anatomy?

  I have observed guys just lose theyselves obssessing about the backside, the talk is never ending...

  Is it inherent...natural instinct or learned? Can someone learn to appreciate beauty by other peoples standard?

  I have friends from other races who after hanging out with with black brothers tend to go the booty way...
   
  Last edited: May 23, 2009
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I think it is instinct, not a learned behavior. I also think you are wrong (somehow) kwani most men do not appreciate beauty by looking at the bumbum (only)
  Lakini sio siri, ni chakula nzuri ya macho (when clothed) - chuo tulikuwa tunaita OPTICAL NUTRITION. lol
   
 3. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Unaposema wanaume wengi, hii siyo kweli. Kila mwanaume ana kitu ambacho kinaweza kumvutia kutoka kwa mwanamke.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wengi ni mafirauni thats why..
   
 5. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35


  Nime sema wanaume wengi kwa sababu i have witnessed this. aki tena wana kwa obssessed kila **** likipita. Macho yana geuka rangi...yaani sometimes you wonder is this all they think of?

  ukweli lakini ni hu msemo wa "beauty is in the eye of the beholder"
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mkuu Outlier kwa kweli hii ni oprical nutrition.mi mama watoto ana bonge la **** na nikikaa sebuleni kama hivi sasa natandaa jamvini napata burudani tu nikiona anapita pita..ni burudani kwa kweli
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mambo ya tiGo na kujiexpress!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wowowo linaongeza nakshi ya uzuri wa umbo la mwanamke na hivyo kuwa peremende ya jicho la aangaliaye.
   
 9. nkawa

  nkawa Senior Member

  #9
  May 24, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini mnatukera cc wanawake na hiyo tabia yenu...hata mkiwa na wake zenu mnashindwa kujizuia.....manakodorea hadi linatokomea.....atleast show a respect when you are with your woman around....
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  are you single?
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha jamani macho hayana pazia ha ha ha
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,571
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine unadmire tu kazi ya muumba. Kuna wengine wanaangalia miguu wengine wanaangalia miondoko na wengine kumuangalia binti mara tatu tatu kwa sababu kapendeza na anameremeta :)
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Let the Finger Do the Walking . . . . YellowPages . . .

  Tafakari . . . Chukua Hatua:

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Bibie ndo mambo ya kuangalia uumbaji. Most men just see, appreciate and move on!..Lazima kuna kuzidiana uzuri/maumbo kati ya binadamu, na wewe kitu kikuduwazaa duwaa kweli ati.
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Kwani uzuri wa nyumba ni nini? Kuna mtu ananiambia choo
   
 16. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Kuangalia hakuna ubaya wowote, looking is allowed but not touching...
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  kasema wanaume , hajasema wanaume wote.
  sidhani kama amekosea sana, kwani wengi wanaanzia wawili na kuendelea.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mimi nilipata kuwa na mwanamke aliye yazia nyuma yaani hata mtoto anaweza kusimama pale kwenye kalio nikapita nae maeneo ya k/koo dah ilikuwa balaa jamani we acha wahuni wote mimacho na miluzi ikabidi mm nitangulie chombo nikiache nyuma watu bana tunapenda sana ushuzi.
   
 19. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mie nishaambiwa ati inapendeza tu kuangalia period! sijui wengine mnayependea nini? macho tu ama....utawasikia wakishangilia kama binti aliyebarikiwa anapita karibu... duh!
   
 20. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Bajibuji, mimi sijasema wanaume wote, ila Nyaralego amesema wanaume wengi. hiyo sample space yake aliichukua wapi mpaka akaja na conclusion hii??
   
Loading...