FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,888
- 43,778
Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
Wewe hauoni unaangalia..!Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
mkuu usicheke ukunga uzazi ungalipo wewe bado kijana unaweza zaa mtoto kama huyo ili ujijibu ni kwanini wanapindisha shingo.waulize wenye makengeza kwa nini wanapindisha kichwa kama unaona taswira moja
Mwili wa binadamu una kitu kinaitwa CORDINATION., Yaani mwili unaleta pamoja matendo yote ya viungo mbali mbali kwa wakati mmoja, ili kuleta mwitikio wa haraka na umakini katika miitikio hiyo.Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
Mkuu...!Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
Kwaiyo unataka kusema akiliona gari anakuwa alingalii au akiliangalia gari anakuwa alioni Hahahaha kazi kweli kweliWewe hauoni unaangalia..!
Kuna tofauti kubwa kati ya kuona na kuangalia!
Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
Kunatofauti kubwa sana kati ya kuangalia na kutazama.Wewe hauoni unaangalia..!
Kuna tofauti kubwa kati ya kuona na kuangalia!
Mkuu...!
kwanza nikupongeze kwa swali zuri lenye mantiki.. (ingawa kwa mtazamo wa haraka haraka linaonekana la kijinga )
Samahani katika jibu langu taambatanisha Lugha ya kiingerezea katika baadhi ya maneno.
Tumeumbwa kutumia binocular vision kutazama vitu.Hii inamaanisha kutazama two Images zinatengenezwa kutoka kila jicho ambazo huunganika na kutupatia taswira moja inayoitwa 3D Image (ni image inayotupatia deep perception )
Taswira inayotengenezwa na jicho moja peke yake huwa haina deep perception.. naweza kukupata mfano mmoja. Fumba jicho moja kisha jaribu kuigusa ncha ya kalamu iliyopo mbele yako..
Haitakuwa rahisi kuliko ukiigusa ukiwa unatazama kwa macho yote mawili.
Are you implying watu huwa miguu juu vichwa chini ila image ndio inakuwa inverted na macho?Kabla hujajibiwa zinaunganikaje mbili kuwa picha moja, ujue kabisa pia huwa zinageuka juu chini.
Ndio hapo udate sasa.
Ni kwa sababu taswira(image) zinazotengeneza kwenye kila jicho zinafanana.Mfano, ukiangalia gari unaona gari moja tu japo una macho mawili na kila moja linaona
True, image inayotengenezwa kwenye macha ina sifa zifuatazoAre you implying watu huwa miguu juu vichwa chini ila image ndio inakuwa inverted na macho?