Je, ni kwanini teknolojia mithili ya miujiza iitwayo ‘Neuralink’ haizungumziwi kabisa?

Ni huu huu mkuu unaohusu tech ya "Neural link". Hapo Mkuu ni kwamba, Watu wanakimbilia ku-Buy hiyo teknolojia (kushabikia)kabla hawajabaini na kujiridhisha kuhusu Faida na Madhara/Hasara yake kwa binadamu hususan sie ambao tech. yetu bado ni changa au ni ndogo ref. Mtoa mada anahoji kwanini haizungumziwi. Wanazungumza tu yale mazuri(Faida) kwamba utaweza hiki, utaweza kufanya kile n.k. n.k. Lakini hatujaweza kuona kwamba kama kompyuta inapata virusi na inafikia mahali lazima ukanunue ant-virus, Je, itakuwaje kama ni Ubongo ukiingia virus? Hatujaweza kuhakikisha pasi na shaka kwamba hiyo imekaa kiBiashara au kiUchumi au ki-Usalama(Security) au ndo wanataka kutugeuza maZombie? Tafakari. Watu wameinyamazia Tech. hiyo ili kupata muda wa kuisikilizia na kuitafakari. Ni hayo tu.
Mimi ndiye mleta mada, na sijasema kwamba tuitumie pale itakapokuwa tayari, nimeshangaa tu, kwamba ni kwanini haizungumziwi, kitu groundbreaking kama hiki?
 
dd1887b06308ef353a914df54dcf3188.gif

Nasikia kuhusu hii kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom