Je, ni kwa namna gani majina tunayoitwa au tunayojiita mitaani na mitandaoni yana mchango katika ulimwengu wa roho?

Hadi hapo mtakaponiambia ulimwengo wa roho ni nini na unapatikana wapi, hapo nitaweza kuelewa mantiki ya hoja yako Zoë. Otherwise napata tabu sana mtu akisema "ulimwengu wa roho".

Kwanza hili neno limeanza kutumika lini, nani alilianzisha na alikuwa anataka ku-achieve nini?
Naona makanisa ya kilokole yanalipenda sana hili neno la ulimwengu wa roho
 
Ni sawa, lakini je haujawahi kuona kuna baadhi ya watu wanajitahidi sana kuchapa kazi lakini kila wanalofanya halifanikiwi na kuna wengine chochote watakachogusa kinafanikiwa hata bila kutumia nguvu?
Kuna kitu kinaitwa
Fursa + utayari

Ila amini kwamba wote huwa tunapewa muda(time) kwa usawa. Ila kila mmoja ana namna yake ya kuutumia muda wake na hapo ndio ma gap yanapotokea.
 
this has been subscribed bbygirl, Nina usingizi mpaka sioni mbele nitakuja kusoma kesho Mungu akijalia uhai.!!

Ila I swear toka nimebadili jina langu kutoka 'SweetieLee' kuwa Carleen nimeona mabadiliko mno.!!

Na nilikuwa kanisani while napata wazo la kubadili, mpaka Leo sijui ni kwanini.! Nikaliombea jina hili ndiyo nikajiita, na kweli mambo mengi sana maishani mwangu yakabadilika..!! Sitamani mtu aniite SweetieLee hata kwa bahati mbaya.!

Bby C'ssy, kuna muunganiko mkubwa sana wa kiroho na haya majina tunayojiita.!!
Sasa hayo mabadiliko tutayaaminije wakati hatukui na hatukuiti live zaidi ya humu mitandaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina kinaanzia kwenye fikra zetu.

Ukifiriki negativity , vitu negative vitakupata and vice versa.

Hayo majina mnayasingizia tu. They have nothing to do with who you are

Cc :zoë
Hata wewe kuwaza hivyo pia kunaanzia kwenye fikra zako.!
 
Jina lenye nguvu ni lile umepewa na wazazi wako tu, haya mengine ni ubatili mtupu.

Hata hivyo, wanaopiga porojo kuwa ‘majina/mdomo huumba’ wengi wao hujielekeza kwenye negative tu.

Ukijiita ‘kichaa’ utaonywa kuwa itakutokea kweli, ila ukijiita ‘bilionea’ utaambiwa umewehuka.... mimi ni Ncha Kali kweli kweli.
 
Hata wewe kuwaza hivyo pia kunaanzia kwenye fikra zako.!
Everything.

Ukiwaza mashaka , mashaka yatakuandama
Ukiwaza ushindi, njia za ushindi zitafungua.

Hiyo ni law of attraction.

Uki associate Sweetlee na mikosi , mikosi itakuandama and
Uki associate sweetlee na blessings n fortune itakuwa hivo. Simple
 
Sasa hili suala nimelileta kwenu wadau, hasa kwa wale waliobobea katika haya mambo ya ulimwengu wa roho mnieleweshe ni namna gani majina tunayoitwa au tunayojiita mitaani na mitandaoni nayo yana mchango unaoweza kuathiri maisha yetu kupitia ulimwengu wa roho.

Jina lina beba kusudi la mtu ( kwa mfano, Papi tunajua ni tunda, ila tunda la papai lina contents zinazofanya liitwe papai na liwe papai ). Kwa lugha nyepesi jina linabeba character ya mtu. Hiyo ni moja.

Mbili jina lina nguvu ya kuongoza ( control ). Vitu au watu wanapewa jina ili to be under control.. huwezi kuki control kitu amabcho hujakipa jina. Alie kupa jina ana nguvu ya kukuongoza, itategemea alikupa jina hilo kwa lengo lipi.

Tatu kila mtu ana jina lake katika ulimwengu wa roho na ilo jina linaweza kuwa mwiba kwa muhusika kama lipo connected na wrong source.. katika ulimwengu wa roho utaitwa jina lako la rohoni.. nani aliekupa ? Kama ulipewa jiba na mchawi .. wachawi kukubeba rohoni ni dk.. na wanaweza kukufanya watakavyo kwasababu wana nguvu ya kuku control kupitia jina.

Nne, jina linabeba hatma ya maisha na baraka.. hapa narudi kuelezea kwa undani zaidi

Nne
 
Awww that's my sister, looks like you are a prayer warrior and I envy you for that.

Halafu pia kuna comment yako nayo nimeiona mahali unamuambia mtu kuwa majina tunayojiita yana maana katika ulimwengu wa roho, na amebadilisha.

Natamani sana nijue zaidi kuhusiana na haya mambo na namna yanavyofanya kazi
thanks bby c'ssy you can be that too, and I am not where I wish to be but I am struggling to be there..!!


Maswali yako naomba nikuitie mwalimu wangu atakupa majibu yote, Sir Titicomb naomba muongozo hapa tafadhali..!!
 
thanks bby c'ssy you can be that too, and I am not where I wish to be but I am struggling to be there..!!


Maswali yako naomba nikuitie mwalimu wangu atakupa majibu yote, Sir Titicomb naomba muongozo hapa tafadhali..!!
Ni kweli tuwe makini na majina tunayowapa watu au tunayo jiita.
Pia tuwe makini na maneno tunayo ongea dhidi yetu na dhidi ya wenzetu.

Ngoja tutafute muda na maandishi ya kuwekea kama ushahidi hasa toka vitabu vitakatifu.
Kwa kuanzia ningependa kujua dini au imani ya rafiki yetu Zoë ili ikiwezekana tumpe mfano kwenye maandiko ya vitabu vya imani yake.
 
Ni kweli tuwe makini na majina tunayowapa watu au tunayo jiita.
Pia tuwe makini na maneno tunayo ongea dhidi yetu na dhidi ya wenzetu.

Ngoja tutafute muda na maandishi ya kuwekea kama ushahidi hasa toka vitabu vitakatifu.
Kwa kuanzia ningependa kujua dini au imani ya rafiki yetu @Zoë ili ikiwezekana tumpe mfano kwenye maandiko ya vitabu vya imani yake.
Naomba usiache kumtag na rafiki yangu Chrismoris nadhani atajifunza jambo hapa.!! Ninavyoamini mdogo wangu ni mkristo, ngoja aje halafu tuone.!
 
Hilo la kupenda bahari kupita kiasi linakufanya utambue kwamba una vinasaba na majini ya majini
Hivi mkuu unayoyaandika huwa yanatoka from your head or just from your fingertips??
 
Back
Top Bottom