wewe si uliniacha lakini?
honey mbona hii ni yamuda mrefu enzi zile za secondary! Uchumba wa utotoni usikutishe mpenzi!!!!!!!
Hivi barafu ni nyeupe???...just curious
Rafiki mambo? Mzima wewe?
Poa best habari ya huko ulipo...mie mzima..Eid Mubaraq
we ulivomtongoza deshdesh ultegemea nini?
mmmmmhhhhhh?????
unamjua snowhite? au snow sio barafu? kiswahili kiko shallow mkwe
Huyo mtani wangu nampata sana mkwe...
Wenye kukiboresha kiswahili hutoa tafsiri ya snow kama theluji na kweli theluji huwa ni nyeupe lakini barafu 'ice' hiyo sijapata kujua yake rangi.
Huyo mtani wangu nampata sana mkwe...
Wenye kukiboresha kiswahili hutoa tafsiri ya snow kama theluji na kweli theluji huwa ni nyeupe lakini barafu 'ice' hiyo sijapata kujua yake rangi.
nahisi barafu haina rangi.
nashukuru kwa majibu mazuri, mkwe umekulia umombasani? una kiswahili sanifu
Barafu ni maji yaliyopata baridi mpaka kuwa barafu. Maji hayana rangi hvyo basi barafu nayo haina rangi.