Hahari zenu wanajukwa la MMU,
Mimi ni kijana wa kiume. Kila msichana niyetokea kumpenda, yeye hanipendi na nisiyempenda yeye huonesha dalili za kunipenda.Nimekuwa na wasichana kadhaa kila ninayetemgemea na kuweka malengo ya kuwa mwenza wangu wa maisha, mipango huishia njiani na umri unasonga.
Hil jambo linasumbua sana, linapelekea nakuwa na maswali kama;
1. Ni kwangu tu au ni kawaida kwetu sisi wanadamu?
2. Au huwa nakosea kufanya uchaguzi?
3. Biologically nipo vizuri kabisa, sijui tatizo nini?
4.Je sampaling ni kawaida kuwa kinyume?
Naombeni ushauri wenu