Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Nitamtegemea nikiwa naumwa hoi bin taabani
Ndo maana nakupendaNi halali kabisa maisha hayana fomula..kama najiweza kwann nisimfichie aibu mme au mpenz wangu? Mladi wengine wasijue kama ni pesa mpe mkiwa chumbani na ya kula mpe pia yeye ndo atampa dada mpishi kama mnae.
Kweli aiseesabuwanka, Yule mwana wa MMU sio kabisa. Ila kuna mazingira yanaweza kutokea ukamtegemea japo inatakiwa iwe kama boost tu ya gar kidogo alafu uendelee na yako sio unaweka na miguu mezani kabisaaa huku unacheza na watotoo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaSi halali hata kidogo..ingawa Kuna mabaharia watakuambia ni halali.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaSijui Kama ni halali au lah!
Ila ninachojua Mwanamke wa kumtegemea ni mama tu wakati upo mtoto,
Sasa wewe mtegemee mwanamke mwingine alafu kitakacho tokea mimi sihusiki,
Unaweza ukashtuka ukajikuta upo njiani kuelekea mbinguni.
AsanteH
Hongera Sana umefundwa
tuwahudumie tu, ni jukumu letu. Ulishawahi kusikia mwanaume anajisifia kununua mahitaji ya nyumbani? Au mwanamke anajisifia kumpikia mumewe? Tukubali tu, kila mtu ana majukumu yake japo kuna kusaidiana!So ukimtegemea jiandae kufukuzwa