Je! ni halali kumuona dr Mwakyembe kama shujaa wetu?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
kufwatia uthubutu alioufanya katika tume teule ya richmond na matokeo yake(kama inavyosemekana kuugua kwake kunahusianishwa nakulishwa sumu na maadui zake), je, mwakyembe tumhesabie kama shujaa wetu?
 
Mimi nitamhesabu kama shujaa siku akiyasema yale mengine aliyodai kutoyasema ili kuilinda serikali, lkn mpk sasa simuoni shujaa zaidi ya kumpa pole na kumtakia heri apone haraka.
 
kufwatia uthubutu alioufanya katika tume teule ya richmond na matokeo yake(kama inavyosemekana kuugua kwake kunahusianishwa nakulishwa sumu na maadui zake), je, mwakyembe tumhesabie kama shujaa wetu?
Shujaa?? una matatizo nini! Yaani mtu alidiriki kuficha mambo mazito kwa maslahi ya ccm huku akijua kuwa kufanya hivyo ni kuliangamiza taifa, sasa hivi awe shujaa????
 
Mwakyembe ni SNITCH tu!! Angekua shujaa angesema madhambi yote ya Richmond. Mbona EL ameweza kumueleza JK?
Pia, aseme ishu nzima ya kupewa 'sumu' ilikuaje!
Sioni ushujaa wake, kilichopo ni unafiki, na hiyo dhambi (unafiki) ndo inamtafuna sasa!
 
Mwakyembe is a big joker. He had opportunity to do the right thing and he never did it. Ametumia kodi zetu na hakutoa taarifa kamili kwa kisingizio alichokitoa what a disgrace... Hii nchi inahitaji watu watakaosacrifice no matter what. Marafiki wa aliowalinda ndio wanaomhunt kama sungura. Okay amepata uwaziri so what!! Wangapi wamekua mawaziri na wamezikwa na tumewasahau!? He had opportunity kuacha alama kwa hii nchi ambayo hataipata tena. Shame on him.
 
Nashauri! Wale jamaa waliomuweke 'sumu' ya awali.
Waende kumuekea nyingine ile aende 'after life' mapema, tuondokane na huu upupu wake wa 'ushujaa'
 
kufwatia uthubutu alioufanya katika tume teule ya richmond na matokeo yake(kama inavyosemekana kuugua kwake kunahusianishwa nakulishwa sumu na maadui zake), je, mwakyembe tumhesabie kama shujaa wetu?
.......sifikirii hivyo kabisa, ataonyesha uthubutu atakaposema yale aliyoyaficha, hadi hapa mimi namwona mnafiki tu.
 
shujaa myfoot
kweli pesa mwanakharam huyu jamaa
kipimo cha kwanza cha ushujaa
wake angekataa nafasi aliyopewa
na sirikali,alijua kabisa alipewa
ili kufungwa mdomo kwaninii aliikubali nafasi hiyoo?
 
barafu huwa gumu na wakati mwingine hata zaidi ya jiwa lakini likiwa ndani ya jokofu,likitolewa nje hujiyeyusha lenyewe maji huo huo ndio ushujaa wa barafu wa dr mwakiembe!
 
Back
Top Bottom