N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 30, 2010 #21 Kituko said: kama kitendo cha kuwatembeza uchi kinalalamikiwa, VIPI KUKATWA MIKONO?, MAANA HIYO ISSUE INGEFIKA KWA KADHI NA USHAHIDI WA ZAIDI YA WATU WATATU UPO, NADHANI HAO JAMAA SASA HIVI WANGEKUWA NA MKONO MMOJA MMOJA Click to expand... Ama wewe jina lako linakufaa hasa! Nani aliyekwambia Kadhi anashughulikia masuwala ya jinai? Kama hujuwi ni bora kuuliza usilete vituko.
Kituko said: kama kitendo cha kuwatembeza uchi kinalalamikiwa, VIPI KUKATWA MIKONO?, MAANA HIYO ISSUE INGEFIKA KWA KADHI NA USHAHIDI WA ZAIDI YA WATU WATATU UPO, NADHANI HAO JAMAA SASA HIVI WANGEKUWA NA MKONO MMOJA MMOJA Click to expand... Ama wewe jina lako linakufaa hasa! Nani aliyekwambia Kadhi anashughulikia masuwala ya jinai? Kama hujuwi ni bora kuuliza usilete vituko.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 30, 2010 #22 Vita ni vita Muraa
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Mar 30, 2010 #23 hii sasa hatari sheria mkononi
Calnde JF-Expert Member Joined Oct 7, 2008 Posts 1,373 Reaction score 281 Mar 31, 2010 #24 For whatever the reasons, si haki
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,858 Mar 31, 2010 Thread starter #25 Je hao wevi nao wanayo haki ya kuwashtaki walio wavua nguo hadharani!?