GM7 mbona nipo mie? Heri ya mwaka mpya my dia
Ni kweli sababu zipo but sometimes huwa hamzisemi mnasingizia tu pombe au unakuta mtu anarudi late akiulizwa ni mkali na kejeli juu sasa hasira si zinamzidi wife? Bado hatakiwi kumnyima? Suppose wife amekukuta unamchuchua dada wa kazi live, akikasirika hana haki ya kukunyima? (kumchuchua ni kumchokoza kimahaba)