Je, ni haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni haki?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ndume, Jan 12, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naomba mnisaidie wenzangu,kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya kupisha ujenzi wa barabara,na mpaka sasa wametia alama majengo ili kupisha ujenzi huo na kupiga hesabu za fidia,matokeo yake tangu mwaka jana mpaka hivi sasa ni karibu miezi nane na wananchi mpaka sasa wamesimamisha shughuli zao za maendeleo ukizingatia nyumba nyingi ni za biashara na wengine wameshindwa kuingiza umeme kwa kuogopa hasara,watu wanaogopa kupanga kwa sababu aijulikani ni lini watakuja, na kampuni ya ujenzi imeshafika na imeshaanza kazi, barabara yenyewe ni ya Handeni mpaka Mikumi kupitia Dumila.
  Je, ni haki hii? Au ni ujanja tu wa watu na naomba mnisaidie kisheria inapaswa kulalamika.Asanteni sana
   
 2. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  ikifika miez 6 tangu uthamin ufanyike na wafidiwa wakiwa hawajapata muamala_sheria inasema lazima waongezewe percentage(sikumbuki ni kias gan) lakin pia mthamin anaweza kurudia_hairuhusiw kufanya maendeleo yoyote baada ya uthamini
   
 3. n

  ndume Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asante sana majibu yako nimekupata
   
Loading...