Je, ni dawa ipi ya kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone?

oby7

Member
Dec 30, 2019
9
4
Kwa anaefahamu aina ya dawa za kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone ya testosterone tuwasiliane nazihitaji hizo dawa wadau.

Maana nahisi kama ufanisi umepungua .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasubili watalaamu lakini kwa kuanzia jitaidi kunywa maji yakutosha lita 3 Adi 5 kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…