UDOM tatizo nini kiongoz?Aende DIT, KIU au UCC ndiko kunamfaa.
Asijaribu hata kuifikiria UDOM pale ni kitu ingine ata disco semester ya kwanza tu
Application zimetokaAende DIT, KIU au UCC ndiko kunamfaa.
Asijaribu hata kuifikiria UDOM pale ni kitu ingine ata disco semester ya kwanza tu

Aende DIT, KIU au UCC ndiko kunamfaa.
Asijaribu hata kuifikiria UDOM pale ni kitu ingine ata disco semester ya kwanza tu
UDOM inaelekea hafuati mambo za NACTE ukianza na certificate wanahitaji uwe na ufaulu wa B overal kuendelea na diploma wakati vyuo vingine ukifaulu tu certificate unagonga diploma. Kuanzia mwaka huu vyuo vingi chini ya NACTE vimetupilia mbali certificate na kwenda na version ya Diploma ya miaka 3.UDOM tatizo nini kiongoz?
Unique wanaelekea kuwa wazuri lakini ada zao sio zile unazo ona kwenye matangazo ya NACTE, lazima uwe tayari kulipia pia professional courses watakazo toa. Kama uko sawa basi usisite kwenda huko.Atafute chuo ambacho anaweza kupiga lab sio vyuo theory nyingi kama UD
Ajaende Unique pale akacheki
Hivi bado wanaile system ya kupiga certificate ya IT alfu unajoin diploma ya computer scienceUDOM inaelekea hafuati mambo za NACTE ukianza na certificate wanahitaji uwe na ufaulu wa B overal kuendelea na diploma wakati vyuo vingine ukifaulu tu certificate unagonga diploma. Kuanzia mwaka huu vyuo vingi chini ya NACTE vimetupilia mbali certificate na kwenda na version ya Diploma ya miaka 3.
Nafikiri bado wanayo ingawa mwaka jana walipunguza namba ya certificate zao na diploma zao za mambo ya computing.Hivi bado wanaile system ya kupiga certificate ya IT alfu unajoin diploma ya computer science
Nampango wa kujiung IT hapo Arusha technical collegeNafikiri bado wanayo ingawa mwaka jana walipunguza namba ya certificate zao na diploma zao za mambo ya computing.
ATC wanaonekana wako vizuri na inaelekea wana misaada toka ughaibuni ya kuimprove infrastructure.Nampango wa kujiung IT hapo Arusha technical college
Yes,wanao wafadhili wa Norway na wanasponsor watoto wa kike ambao wameenroll kwenye kozi za uhandisi.ATC wanaonekana wako vizuri na inaelekea wana misaada toka ughaibuni ya kuimprove infrastructure.
Informatics yenyewe kama umeshawahi isikia au kuiona in a serious way ndio hutolewa pale.UDOM tatizo nini kiongoz?
Mbona sasa na mbwembwe zote lakini walidukuliwaInformatics yenyewe kama umeshawahi isikia au kuiona in a serious way ndio hutolewa pale.
.
Dogo hatapaweza aende mavyuo yakati huko na akienda.university aende vyenye mfanano na KIU kama anahuruma na ada ya mzazi wake.
madogo wanaokimbilia informatics UDOM semester ya kwanza tu wanarudi kwao
I don't think so...Not really