Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 152
- 495
Lakini sadaka yangu inapokelewa madhabauni🙈Kibali cha kulewesha watu hakitoki kwa Mungu
Nataka nimuige yule boss wa Star Park Morogoro au Miami ya Iringa.Uwe mbunifu sana ili uwashike hao walevi kwa muda mrefu zaidi, vinginevyo biashara ya bar ndio ambayo inaongoza zaidi kwa kufa kifo kisichoeleweka.
Hongera sana Mkuu, Bar yako ina ukubwa wa kupokea wageni wangapi kwa pamoja?Nafanya hii biashara ila faida kwa siku ni around 50k
Weekend 200k biashara ya baa inahitaji umakini mkubwa kuifanya;!!!
Nataka kuizika kama milioni 85 hivi, yaani natenga maeneo ya VIP na Normal customersKulaza mil 3 kwa siku !!! Mtaji unakuwa ni kiasi gani?
Nilikuwa naichukulia poa,sikujua kama inaingiza pesa ndefu kiasi hichoWakuu sana My Sons Legacy na Nakubusu mbona mmeshangaa maoni niliyotoa?
Mawazo ya kawaida kama haya hayawezi kukulipa kamweee kila mtu yani kama watu mmelogwa akitaka kufungua biashara anawaza biashara hizo ulizotaja ukiongeza na kibanda cha mpesa na duka la viatu.Kuna
- Restaurant
- Saloon ya kike na ya kiume
- Duka la nguo
- Duka la nafaka
- Bar
- Duka la mangi
Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
Umeongea point kubwa sana mkuuMawazo ya kawaida kama haya hayawezi kukulipa kamweee kila mtu yani kama watu mmelogwa akitaka kufungua biashara anawaza biashara hizo ulizotaja ukiongeza na kibanda cha mpesa na duka la viatu.
Mawazo ya kawaida kama haya hayawezi kukulipa kamweee kila mtu yani kama watu mmelogwa akitaka kufungua biashara anawaza biashara hizo ulizotaja ukiongeza na kibanda cha mpesa na duka la viatu.
Sio wengi sana kwa wakati mmoja watu 100 wanaweza kukaaHongera sana Mkuu, Bar yako ina ukubwa wa kupokea wageni wangapi kwa pamoja?
Me nataka kuiweka kwa Ukubwa
Ukiwekeza vizuri, hii biashara ina hela.Nilikuwa naichukulia poa,sikujua kama inaingiza pesa ndefu kiasi hicho
Hongera sana Mkuu, kama unalaza elfu 50 kwa siku kama faida ina maana umepishana kidogo na Mshahara wa Mkuu wa Wilaya.Sio wengi sana kwa wakati mmoja watu 100 wanaweza kukaa
We hakikisha malaya wanaipenda bar yako, ndo wanaleta wateja hao. Chunguza vizuri uone.Nataka kuizika kama milioni 85 hivi, yaani natenga maeneo ya VIP na Normal customers
Pia naweka na Jiko kwaaji ya Misosi
Haha......kumbe ndiyo iko hivyo.We hakikisha malaya wanaipenda bar yako, ndo wanaleta wateja hao. Chunguza vizuri uone.
Biashara mpya amna lakini kinachohitajika ni innovation mkuu na kujua ufanye nini kiuzike....Umeongea point kubwa sana mkuu
Wabongo tunafeli kwenye kufanya biashara yeboyebo ya kuigana bila kuumiza kichwa
Pamoja na mimi kufanya mojawapo ya biashara alizozitaja mdau hapo juu ila naona wengi wanafanya bila kuumiza vichwa ya mfumo mpya wa kufanya hiyo biashara mpaka atoboe
Sasa kutoa maelezo bila kushauri namna nzuri si ndio ujuha wenyewe.Mawazo ya kawaida kama haya hayawezi kukulipa kamweee kila mtu yani kama watu mmelogwa akitaka kufungua biashara anawaza biashara hizo ulizotaja ukiongeza na kibanda cha mpesa na duka la viatu.
Biashara haramu yyte inalipa izo azilipi ulizotajaKuna
- Restaurant
- Saloon ya kike na ya kiume
- Duka la nguo
- Duka la nafaka
- Bar
- Duka la mangi
Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
Hongera sana, ilikuwa vyema iwapo utasindikiza na kapicha kako.😀 Mm mrwanda wa bongo,niweke kitengo cha counter ni Mrembo balaaa 😉😉
Duka la NafakaKuna
- Restaurant
- Saloon ya kike na ya kiume
- Duka la nguo
- Duka la nafaka
- Bar
- Duka la mangi
Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?