Je, Ni bao la mkono au ni typing and tallying errors?

wataalam wa hesabu tunadhalilishwa sana, ivi tume imeshindw hata kutumia calculator,
 
Elimu bure ingewaponza ninyi.....
Hesabu ya std 3 inawapiga chenga loh.

Kuna kura zilizo haribika hapo mmeziweka?
Au ushabiki?
 
Hapa dawa ni kuyakataa haya matokeo yao tu! Hakuna namna nyingine!
 
Elimu bure ingewaponza ninyi.....
Hesabu ya std 3 inawapiga chenga loh.

Halafu sio haya tu mkuu. Pia matokeo ya Kilindi idadi ya kura za wagombea na total ya kura zinatofautiana. Swali ni kwamba nani kazidishiwa na nani kapunguziwa? ?????naanza kupata wasiwasi
 
ila tunatia aibu hebu fikiria Tv za mataifa mengine zinarusha na zenyewe hapo
 
Hapa dawa ni kuyakataa haya matokeo yao tu! Hakuna namna nyingine!
watakwambia unataka kumwaga damu za watu wewe Tanzania nchi ya amani na dunia yote inafahamu haaa haa haa haa
 
Halafu sio haya tu mkuu. Pia matokeo ya Kilindi idadi ya kura za wagombea na total ya kura zinatofautiana. Swali ni kwamba nani kazidishiwa na nani kapunguziwa? ?????naanza kupata wasiwasi
Kura zilizo haribika hapo mmeziweka? Ni ngapi?
 
Mliosoma takwimu je hizi asilimia zipo sahihi?

Mimi faster nimeweka kwenye Excel na kupata kama ilivyo hapo chini:

[TABLE="width: 192"]
<colgroup><col width="64" span="3" style="width:48pt"> </colgroup><tbody>[TR]
[TD="width: 64"][/TD]
[TD="width: 64"]Kura[/TD]
[TD="width: 64"]Asilimia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]594[/TD]
[TD="align: right"]1.098881[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]409[/TD]
[TD="align: right"]0.756637[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magufuli[/TD]
[TD="align: right"]33699[/TD]
[TD="align: right"]62.34206[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lowassa[/TD]
[TD="align: right"]19017[/TD]
[TD="align: right"]35.18083[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]189[/TD]
[TD="align: right"]0.349644[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]47[/TD]
[TD="align: right"]0.086948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]51[/TD]
[TD="align: right"]0.094348[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]49[/TD]
[TD="align: right"]0.090648[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla[/TD]
[TD="align: right"]54055[/TD]
[TD="align: right"]100[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Kura zilizo haribika hapo mmeziweka? Ni ngapi?

Issue sio kura zilizoharibika bali ni discrepancies kwenye percentages kwani Dr. Magufuli ana asilimia 62.34 na Lowassa 35.18. Kama ya Lowassa hipo sahihi basi hakuna cha kura zilizoharibika hapo. Kama zimeongezwa kwa criterion ya kura zilizoaribika basa zitakuwa ni asilimia karibu 9 na kuongezewa kwa Magufuli na kufikisha hizo 71. Tazama mambo ya Excel hapa:

[TABLE="width: 192"]
<colgroup><col width="64" span="3" style="width:48pt"> </colgroup><tbody>[TR]
[TD="width: 64"][/TD]
[TD="width: 64"]Kura[/TD]
[TD="width: 64"]Asilimia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]594[/TD]
[TD="align: right"]1.098881[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]409[/TD]
[TD="align: right"]0.756637[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magufuli[/TD]
[TD="align: right"]33699[/TD]
[TD="align: right"]62.34206[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lowassa[/TD]
[TD="align: right"]19017[/TD]
[TD="align: right"]35.18083[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]189[/TD]
[TD="align: right"]0.349644[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]47[/TD]
[TD="align: right"]0.086948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]51[/TD]
[TD="align: right"]0.094348[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]49[/TD]
[TD="align: right"]0.090648[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jumla[/TD]
[TD="align: right"]54055[/TD]
[TD="align: right"]100[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 

Kwa hapo upo sahihi. Excel hawaijui??
 
Hawawezi kurudi.
 
Kura zilizo haribika hapo mmeziweka? Ni ngapi?


Hao hata hesabu ndogo hawajui. Hizo system zao zinaleta ukakasi

Mkuu hebu chukua Asilimia za Magufuli na Lowasa tu jumlisha. achana na Kura za wagombea wengine pamoja na zilizoharibika.

Magufuli 71.28 %
Lowasa 35.18%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…