Je ngozi hii niifanyaje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ngozi hii niifanyaje!

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Jun 7, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana jf mie ngozi yangu especially uson inasumbuliwa sana na pimples(chunusi) kila aina ya mafuta nnayoshauriwa bado inaleta usumbuf coz nataka kuwa free from pimples niwe soft kama nyie, kwa utafiti wangu kidogo nimeambiwa uso wangu una mafuta kwahiyo nitumiage mafuta makav lakin mafta yote jamani si yana mafuta ndani yake(lotion,cream,mgando) nimetumia mafuta,sabuni na vimiminika(mfano facial cleanser) aina nyingi sana bt bado sijatulia na kujua cha kufanya.msaada wenu please!!?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna mafuta kwaajili ya kila aina ya ngozi!Nenda kwenye maduka ya vipodozi waambie unahitaji mafuta kwaajili ya ngozi yenye mafuta!!
   
 3. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  kama ngozi yako ina mafuta ahca kutumia mafuta kabisa... sasa utumie mafuta makavu ndio nini... fuata hivi.. moja hakikisha hufanyi kazi kwenye mahali ambako kuna joto jingi au unapigwa na jua kwa muda mrefu kwa sababu kufanya hivyo kuta stimulate hayo ngozi yako na kutoa jasho la mwili lakin kwa usoni jasho hilo litaendana na mafuta na mwishowe pakikauka au hata ukijifuta yale mafuta yatabakia kwenye njia za hewa za ngozi na kuziziba na hapo ndipo chunusi zinapozaliwa hasa zile kama njugu mawe... pili hakikisha unanawa uso wako kwa maji safi na sabuni mara kwa mara... swala la kunawa uso ni jepesi kwani kokote utakapokuwa ofisini, nyumbani lazima utakuwa na access ya maji na sabuni au walau hata maji tu... usipake chochote usoni na kwasababu uso wako una mafuta huwezi kupauka unless kama unaogema maji ya chumvi lakini kama ni maji ya kawaida ukitoka kuoga we jifute vizuri acha hivyo.. then unatona baada ya nusu saa au lisaa uso wako una mafuta inamaana unaproduce wenyewe kutokana na jinsi wili unavyoshughulika so hakuna haja ya kuongeza mafuta mengine.

  mwisho tumia medicvated soap.


  trust me ndani ya wiki mbili hadi mwezi utakona tofauti.... hakuna gharama
   
 4. U

  UNIQUE Senior Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  SHIDA uliyonayo ni kwamba ngozi yako haipitishi uchafu kwa hiyo hizi pimples ni reaction ya uchafu. unatakiwa kunywa bio water ama maji hai ya bio disc. BIO DISC INAUZWA NA QNet | Direct Selling - Home. jiielimishe na Amezcua ama google BIODISC UTAPATA MAELEZO. UKITAKA MAELEZO KWANGU NITAFUTE NJE YA HII FORUM. NINA MIAKA 3 NIISHUGHULIKA NA BIO DISC IT IS AN AMAZING PRODUCT. NIMEWASAIDIA WENGI WA AINA YAKO.
  UNIQUE
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,114
  Likes Received: 6,594
  Trophy Points: 280
  ukipenda jioni/usiku baada ya kuonga paka asali, baada ya one hour osha uso vizuri kabisa. usipake tena chochote hadi kesho jioni/usiku. jaribu for at least 14 days, uone.
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
Loading...