HahahahahaaaaTuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...
*huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu
Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.
Hahaha wewe jamaa nomaaTuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...
*huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu
Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.
Kwa ulivyoandika nahisi nimewahi kukuona kwa mzee wa upakokwa kifupi, huvi karibu baada ya Madee kuachiwa wimbo mpya na video yake msanii Ney wa Mitego amajitokez kuiponda kazi hiyo kwamba haina kiwango!! Binafsi nimeaikiliza kuitazama video wimbo hupo wa PESA na kujieidhisha pasina shaka kwamba nyimbo iko pouwa , video na matukio vimeendena na ujumbe w wimbo!! Wadau wezangu wa bongo fleva mnasemaje?
Kuna maneno umeacha kamaTuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...
*huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu
Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.
Aachane na Madee no nyingine atampoteza,Awaulize Chid Benzi,Afande Sele wameshapotea asijifafananishe na Madee sawa na mlima na kichuguuNadhani wanapondana.
siku moja fnl madee alipondea wimbo mpya wa ney nadhani na yeye ndo anarudisha fadhila
duh Sory baba mchunga kondoo.Unaongea Kikurya ama...
Tuseme nini wakati hata hueleweki, Kikurya sio Kikurya, Kijita sio Kijita...
*huvi karibu
*amajitokez
*Binafsi nimeaikiliza
*na kujieidhisha
*video na matukio vimeendena
*Wadau wezangu
Blaza, njoo usomee Upadri uwe unanena kwa Lugha ya Kiyunani.