Je, ndoa hii nani mkosaji?

Achana nayo mkuu....tafuta furaha kaka tunaishi mara moja tuu...Ukiendelea na hiyo ndoa utakufa mapema coz ya stress na mawazo tele. Piga chini waza maisha mengine
 
Sasa mchepuko wangu... akiamua kuuachia moyo uamue.... damu itasukumwa na nini?

Mi namshauri atumie akili, moyo auachie kazi ya kusukuma damu.
 


KWELI KUNA WATU WAVUMILIVU DUNIA HII. HAYA ENDELEA KUJIUA TARATIBU
 
Kama ulichoandika ni kweli na hujavutia kwako, piga chini huyo mwanamke!Usijekufa kwa stress kama Ndiku na Ivan!!
 
Pole ila jibu unalo mbona kwenye story yako ulisema kua unajidanganya kumsamehe Mtu asofaa kusamehewa now acha kujidanganya chukua uamuzi sahihi wa ukweli
 
Pole mkuu... Hayo ni matokeo ya jitihada zako za kushindwa kuwa mkweli kwa nafsi yako mwenyewe! Uliamini hisia zaidi kuliko ukweli unaopingana na uhalisia na apo ndipo ulipoteleza na kuanguka mazima... Ushauri;- achana na huyo mwanamke mara moja na anza maisha upya!
 
Ss umejionea eeh ,mkeo ni yule uliyemsaliti ukamuacha!
 
Unajua ulichoniudhi kwenye haya maelezo ni kuwa uliona hizo tabia mapema kabla hamjafunga ndoa lkn ukalaximisha!
Wakati Mungu alikuwa anakuwashia taa nyekundu kuwa huyo mtu hakufai ww ukajifanya mjanja!
Huyu mwanamke sio kabadirika,ndivyo alivyo na Mungu alikuonyesha mapema ili urudi kwa wa kwako ww ukang'ang'aniza ukamuacha mke wako kwa tamaa!

Na hili limewakuta sana wanaume

Piga chini kabisa mtafute mkeo,ss sijui km utakuta yuko mwenyew,au ht km hana mtu km atakukubalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…