Je, ndoa hii itakuwaje??

Je, ndoa hii itakuwaje??

Han'some

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
283
Reaction score
76
Boy:
Age: 25 years;
Education: degree

Girl:
Age: 22 years;

Education: Form Four

Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF
 
Kwani degree nini ni kijana mbona ni mafile tu kuna watu wana ma PhD na wanao walio soma darasa la saba, ukisha rudi nyumbani yanaruka yote ulio soma.

Yani mimi sidhani leo ukiniambia nifanye calculas taziweza :biggrin1:

Owa tu tena huyo mwenye elimu ya chini ni bora kwako, mana bado hajashikwa shikwa mapaja na wengi :biggrin1:
 
Hahahaaa... Dogo nahisi huyo Boy ni wewe na huyo girl ni girlfriend wako..! Usijali, hakuna tatizo ukioana na huyo dada, tena ndoa yenu inaweza kuwa booomba sana..!
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili na hakuna formula,degree na form four tatizo liko wapi??????
 
Boy:
Age: 25 years;
Education: degree

Girl:
Age: 22 years;

Education: Form Four

Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF
Ujinga mtupu, useless thread. hizi Degree uchwara mnazopata sasa hivi haziwasaidii hata uwezo wa kufikiri nyinyi wenyewe. What is Degree? do you think your Degree can satisfied woman to kileleni?
 
Asante kwa maoni yako mkuu

Kwani degree nini ni kijana mbona ni mafile tu kuna watu wana ma PhD na wanao walio soma darasa la saba, ukisha rudi nyumbani yanaruka yote ulio soma.

Yani mimi sidhani leo ukiniambia nifanye calculas taziweza :biggrin1:

Owa tu tena huyo mwenye elimu ya chini ni bora kwako, mana bado hajashikwa shikwa mapaja na wengi :biggrin1:
 
Ujinga mtupu, useless thread. hizi Degree uchwara mnazopata sasa hivi haziwasaidii hata uwezo wa kufikiri nyinyi wenyewe. What is Degree? do you think your Degree can satisfied woman to kileleni?

Hawa watoto kazi sana . .!!
 
Of course NOT!!

Ujinga mtupu, useless thread. hizi Degree uchwara mnazopata sasa hivi haziwasaidii hata uwezo wa kufikiri nyinyi wenyewe. What is Degree? do you think your Degree can satisfied woman to kileleni?
 
Ha ha ha! Siyo mimi aisee. Asante!

Hahahaaa... Dogo nahisi huyo Boy ni wewe na huyo girl ni girlfriend wako..! Usijali, hakuna tatizo ukioana na huyo dada, tena ndoa yenu inaweza kuwa booomba sana..!
 
Boy:
Age: 25 years;
Education: degree

Girl:
Age: 22 years;

Education: Form Four

Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF

Kwenye ndoa kuna mambo mengi muhimu ya kuangalia kabla ya kuchukua hatua ya kuoana. Elimu na umri si vigezo pekee vya kuangalia. Kuna wanaume ambao hawana sifa za kuwa WAUME na kuna wanawake ambao hawana sifa za kuwa WAKE. Tafakari kwa makini kabla ya kuchukua hatua
 
Kwani degree nini ni kijana mbona ni mafile tu kuna watu wana ma PhD na wanao walio soma darasa la saba, ukisha rudi nyumbani yanaruka yote ulio soma.

Yani mimi sidhani leo ukiniambia nifanye calculas taziweza :biggrin1:

Owa tu tena huyo mwenye elimu ya chini ni bora kwako, mana bado hajashikwa shikwa mapaja na wengi :biggrin1:

AISEE SHIKAMOO YAKO MARA KUMI,,AU NIKUONGEZE???
:msela::msela::msela:
 
Boy:
Age: 25 years;
Education: degree

Girl:
Age: 22 years;

Education: Form Four

Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF

Kikubwa ni maelewano na kuwa tayari kujifunza kila mtu toka kwa mwenzie!
 
Back
Top Bottom