Je, Ndege Concorde Zimeanza Kuruka?

Je, Ndege Concorde Zimeanza Kuruka?

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Wakuu

Asalam-alleykhum

Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).

Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.

Lakin kama sikosei nchi nyingi km sio zote zilishasitisha matumizi ya hizi Concorde kitambo sana.

Je inamaana kuna mataifa yameanza urushaji wa ndege hizi tena?

IMG_20200807_120041.jpg
 
View attachment 1529778
Hahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,
 
Hiyo michirizi ulilyoipiga picha inaitwa contrails kitaalamu, Wala sio Concord tulikuwa tunadanganywa tu Enzo za utoto wetu , hiyo husababiswa na hewa ya Moto kutoka kwenye engine inapokutana na hewa ya baridi ambayo ipo kwenye very low pressure, ndege uliyopiga picha ipo kwenye altude za kuanzia futi 39000

Concord ya mwisho kupaa comercialy ilikuwa ni mwaka 2003
 
Jets leave white trails, or contrails, in their wakes for the same reason you can sometimes see your breath. The hot, humid exhaust from jet engines mixes with the atmosphere, which at high altitude is of much lower vapor pressure and temperature than the exhaust gas.
 
Mbona ndege nyingi tu zinaacha hizo trails!
Hahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,
Asanteni wakuu "mmenipanua" uelewa
 
Mbona ndege nyingi tu zinaacha hizo trails!

Wakuu

Asalam-alleykhum

Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini).

Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina hii.

Lakin kama sikosei nchi nyingi km sio zote zilishasitisha matumizi ya hizi Concorde kitambo sana.

Je inamaana kuna mataifa yameanza urushaji wa ndege hizi tena?

View attachment 1529778
Samahani mkuu unatumia simu gani
 
Ndege za concorde hazijaruhusiwa. Pia hizi ndege kubwa zinazoruka mbali bado zinatoa huo moshi. Unaitwa chem trail.
 
Sielewi zamani tulikua tunaona hiyo michirizi, siku hizi nikisafiri na ndege za masafa sidhani hata utaona michirizi huko ardhini maana zinachana wingu kabisa then mnatembea ndani baada ya kumaliza wingu.
 
Hahhaaaaa!!! Concord zilikuwa ni za mfaransa!! Kwani ndege zinazoacha hiyo michirizi angani ni concord??? Ndege zote kubwa zinazopita juu sana lazima utaona hali hiyo,
Concord ni ndege iliyotengenezwa na waingereza na wafaransa hilo neno Concord ni neno la kifaransa lenye maana ya makubaliano
 
Back
Top Bottom