Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 253
- 166
Elimu haina mwisho,nenda kasome tuu.Wakuu habari zenu mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada kwa ushari je naweza ludi shule!
Asante broElimu haina mwisho,nenda kasome tuu.
Hakuna unafuu maana ngazi zinazotambulika ni darasa la saba na kidato cha nne ile living certificate. Hata ungeishia form four usifanye NECTA ngazi za serikali zitatambua la saba.Je kuatakuwa na unafuu wowote kwa mimi niliye hitimu kidato cha pili yani kwa miaka ya kusoma
Yani je nikitaka kuaanzia level 2 siwataitaji matokeo ya grade 9 ambayo ndo form 2Hakuna unafuu maana ngazi zinazotambulika ni darasa la saba na kidato cha nne ile living certificate. Hata ungeishia form four usifanye NECTA ngazi za serikali zitatambua la saba.
Sema mkuu nimeambiwa wanaosoma elimu ya vitendo wako na fursa ya ajiraDogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.
Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
Ushauri mzuri. Tena akomae na masomo saba tu.Dogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.
Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
Je naweza tumia matokeo ya form 2Nenda veta ukiwa na cheti cha STD7 usomee ufundi, mambo ya kusoma QT harafu huna connections, huna pesa unategemea bahati utakufa maskini na makaratasi yako
Apana form 2 haitambuliki kwenye qualification inatambulika STD 7, F4,F6 tu,Je naweza tumia matokeo ya form 2
Sasa hiyo NQF level 1or 2 ni equivalent ya Form 2Apana form 2 haitambuliki kwenye qualification inatambulika STD 7, F4,F6 tu,
Ila kama ukisoma VETA utasoma hadi degree utatumia kitu kinaitwa VETA STAGE 1 na II badae utaanza kusoma NTA Level 3 ya NACTE, mpaka diploma;badae utaenda TCU ya elimu ya juuu.
Ila kwa masomo ya art mara nyingi ila science ni ngumu sana
Level 1 inatolewa na NACTE kwa wenye cheti cha f4 chenye D nne, ila hao wengine wananzia veta level 1, elewaKwa hiyo hapo mimi nitatakiwa ni some level 3 rather than 1 or 2
Form two ya Tz bara au Zanzbar mana zenji form two unapata chet cjui kwamiaka yahivi karibuni kama wamebadilisha huo utaratibu..Je naweza tumia matokeo ya form 2
Hii ni kwa wale wa masomo ya sanaa. Huyu ni ufundi hata akienda VETA anapita ukoukoDogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.
Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt