Je, naweza tumia matoke yangu ya kidatao cha pili yenye wastani wa C kusoma NQF level 2 to 6

Vf-successfully

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
253
166
Wakuu habari zenu mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada kwa ushari je naweza ludi shule!
 
Je kuatakuwa na unafuu wowote kwa mimi niliye hitimu kidato cha pili yani kwa miaka ya kusoma
 
Elimu haina mwisho,nenda kasome tuu.
 
Je kuatakuwa na unafuu wowote kwa mimi niliye hitimu kidato cha pili yani kwa miaka ya kusoma
Hakuna unafuu maana ngazi zinazotambulika ni darasa la saba na kidato cha nne ile living certificate. Hata ungeishia form four usifanye NECTA ngazi za serikali zitatambua la saba.
 
Dogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.

Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
 
Yani je nikitaka kuaanzia level 2 siwataitaji matokeo ya grade 9 ambayo ndo form 2
 
Dogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.

Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
Sema mkuu nimeambiwa wanaosoma elimu ya vitendo wako na fursa ya ajira
 
Nenda veta ukiwa na cheti cha STD7 usomee ufundi, mambo ya kusoma QT harafu huna connections, huna pesa unategemea bahati utakufa maskini na makaratasi yako
 
Dogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.

Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
Ushauri mzuri. Tena akomae na masomo saba tu.
 
Je naweza tumia matokeo ya form 2
Apana form 2 haitambuliki kwenye qualification inatambulika STD 7, F4,F6 tu,

Ila kama ukisoma VETA utasoma hadi degree utatumia kitu kinaitwa VETA STAGE 1 na II badae utaanza kusoma NTA Level 3 ya NACTE, mpaka diploma;badae utaenda TCU ya elimu ya juuu.

Ila kwa masomo ya art mara nyingi ila science ni ngumu sana
 
Sasa hiyo NQF level 1or 2 ni equivalent ya Form 2
 
Dogo kamua form 4 private candidate alafu ukipata cheti cha form 4 unaanzia hapo.

Tafuta center unasoma mwaka mmoja tu. Umri usikutishe wewe bado sana kuna watu wana thirty years na wanapiga Qt
Hii ni kwa wale wa masomo ya sanaa. Huyu ni ufundi hata akienda VETA anapita ukouko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom