Je, naweza pata mkopo wa nyumba za NHC kila mwezi nilipe 200,000/=?

Polisi jamii

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
2,604
1,381
Nataka ya bei nafuu zaidi. Nimesikia kuwa hata siye walalahoi tunaweza kukopeshwa so kwa anayejua tafadhali unijuze process zake..
 
Last edited by a moderator:
Gharama ya vyumba viwili za hizo nyumba wanazouza, ukiamua kujenga mwenyewe unajenga nyumba nzuri ya vyumba 4 , na hizo ramani zao za mwa 1947
 
nataka ya bei nafuu zaidi nimesikia kuwa hata siye walalahoi tunaweza kukopeshwa so kwa anayejua tafadhali unijuze process zake


Fanya hesabu rahisi kabisa wewe mwenyewe kabla ya kutafuta majibu kwa watu wengine! Hiyo nyumba itakuwa imejengwa kwa shilingi ngapi? na je kwa kulipa laki mbili unatakiwa ulipe kwa muda gani ili ulipie hilo deni? yaani gharama zake mpaka kuhamia, fedha ya kujengea hiyo nyuma NHC imetoa wapi? Je, imekopa benki au ni fedha za kodi ya WatanZania, na je NHC wanajenga nyumba na kutoa zawadi kwa Watz au wanafanya biashara ili wapate faida na kulipa kodi Serikalini?
 
Back
Top Bottom