Je naweza omba mkopo Loan Board nikapata kwa kutumia admision letter za mwaka jana???..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je naweza omba mkopo Loan Board nikapata kwa kutumia admision letter za mwaka jana???.....

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mdau Makini, Sep 30, 2012.

 1. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Waheshimiwa maisha bila mkopo Chuoni ni *MAGUMU* sijapata kuona hasa kwa sisi watoto wa wakulima Ambao tumesoma St.Kayumba Sec. school(ukipeleka ADA Elfu ishirini na Tano, basi unarudishiwa na Chenji Elfu Tano)!!.Nimeunga unga maisha mwaka wa kwanza umeisha na Sasa naingia mwaka wa Pili.ILA ninachosikitika na kutokwa machozi kila ninapokumbuka ni kwamba Tangu mwaka wa jana Faculty(course) yangu imebadilishwa kuwa Non-Priority course(haina mkopo tena) na nilitegemea kuomba tena mkopo huo mwaka huu baada ya kuukosa mwaka wa Jana.!.Nilijaribu kutuma Maombi ya mkopo hivyo hivyo(as a point of trial) kwa kutumia Admision letter zangu za Mwaka Jana na Mpaka sasa nasubiri tu bila hata matumani na majina hayajatoka mpaka sasa!.NDUGU zangu wapendwa ivi naweza kupata kweli mkopo kwa staili niliyo tumia????...au ndo nifanye elimu ndo imenishinda kwa ugumu wa maisha ninao upata kule chuoni???...au nitapata niendelee kusubiri??....Nifanyaje jamani MASIKINI Mimi??? May u save me on this please guys!!.
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  jaribu kuvuta subira uone majina yakitoka itakuaje mkuu huenda ukapata, kama ipo ipo tu mkuu pia nahic swala la non priority sio ktisho sana maana mm ni fsrt year koz non priority na nimepata, subiri majina yatoke utapata tu
   
 3. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka na mimi no kama wewe ila mi
  bado ni pririty cjui daah tumuombe mungu sana
   
 4. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ahsante waungana tutazidi kumuomba Mungu!
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Pole sana mdau,mimi pia mwaka jana yalnipata kama yako na hvyo nikashindwa kujiunga na chuo. Namshukuru Mungu mwaka huu nimepata Priority program na mkopo juu. Vuta subra uone.
   
 6. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Thanx, subira yavuta HERI......japo wakati mwingine duuuu mpaka kukata tamaaa aseeee Msafiri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...