Je naweza kuzuia adds za Youtube?

Je naweza kuzuia adds za Youtube?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
 
Inawezekana, nilifanikiwa kutumia app toka torrent ya youtube bila adds kwenye simu, tatizo lake ilikuwa inacorrupt sana kila muda nika uninstall.
 
Mimi nataka hizi official cracked apps huwa situmii mkuu sijui kwanini sizipendi tu, bora nilipie siyo tatizo ila matangazo yananiboa mno.
 
1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Mkuu hao unao angalia video zao unadhani wata nufaika vipi na kazi zao ikiwa hutaki ads?
 
1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Inawezekana,
Lakini najiuliza hizo Adds ndizo zinatufanya mayoutubers tupate kuishi maana ukizuia unatunyima ugali hapo.
 
Angalia adds mkuu,unataka youtuber wakale wapi?kama hupendi adds lipia tu.
 
Back
Top Bottom