kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 322
- 902
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale niaje mazee wakubwa shikamoo, wadada pisi kali mambo vp warembo?
Any way nije kwenye point kuna mademu wawili mapacha nilifahamiana nao instagram nilianza kufahamiana na dotto so baada ya mazoea ya mda mrf atimae akanikutanisha na dadaake ambae ni kulwa so mazoea ya mimi na kulwa yakawa makubwa sana ukaribu ukanifanya nianze kumpotezea doto so kitu kilichonifanya nimtongoze kulwa nikijua fika kuwa hawezi nikaataa daaah kitu cha ajabu demu akanichomolea akaniambia hawezi kuwa na mimi.
So now nataka nimtongoze doto je wakuu je naweza kumtongoza doto maana doto nae mwanzoni alionyesha kunikubali hau nifanyaje??

io Avatar niaje nivipi mbona unatuchanganya.