Ohooho enxKifupi ni kwamba huwezi kusoma Bachelor ya computer science kwa hiyo combination yako......coz huna complete requirements....... You should have some principal passes in Math's and Physics at A-level...sasa History, Geography na Economics hapo haiwezi ingia...labda ulazimishe vyuo vya Uchochoroni like MOCU cha Moshi
Sawa thenkxCombi ya HGE haikuruhusu kusoma BSc (Computer Science), vyuo vyote ukiacha ATC vinataka lazima uwe na principal pass in Mathematics + somo lingine (Souce TCU Admission guideline 2018/19)
Inawezekana et eehCertificate na Diploma unaweza kusoma ila Degree u can't
Naweza, xoma akinUnaweza soma ila utapata tabu kwa kuwa vitu vingi vina relate na phy, math kwa mfano kwenye database, electronic, code (logic manipulation) hivyo ni vema uwe fit .nb hakuna kitu kigumu
Inawezekana bibie but digiri utaisikia kwenye Boeing 787-7 bila physics na Math hupata bachelorInawezekana et eeh
Ukitoka uwe nondo kwenye computer science nenda UDOM pale mtu wa Diploma anafundishwa kama mtu wa degree na ukifanikiwa kumaliza pale utakuwa Nondo balaaInawezekana et eeh