Je, naweza kusoma chuo cha ada ya millioni moja na laki moja?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,983
45,488
Nimepata Ada laki nne na meals and accommodation Mil2 na 99500 je naweza kusoma Chuo cha Ada ya Million moja na laki moja?
 
Unaweza mkuu cha msingi jiandae kuongezea gharama ya ada iyo laki saba kila mwaka
 
Ada inategemea na course unayotaka na level gani ya elimu ya juu... Je ni certificate, diploma, bachelor, au nini? Pia ufauku wako utakurahisishia kupata vyuo vya uma vyenye ada rahisi....

UDSM pale kuna ada kuanzia 1.3-2m
 
Back
Top Bottom