Je, naweza kushiriki naye tendo?

Je, naweza kushiriki naye tendo?

Mke wangu amefikisha mwezi tangu alipotoka kujifungua,
Je? Naweza kushiriki nae tendo la ndio(Kummenya, kumtindua)

Nb
Amejifungua salama bila shida yeyote
Kwani anakupandishia mzuka sana wa kukushawishi?

Hawa kina mama wamegawanyika makundi makundi.

Wapo waliojaliwa akiwa ananyonyesha hapati hedhi, kwa hiyo aina hii hawezi kupata ujauzito hata kama utamchezea.

Kwa wanaopata hedhi wakati wa kunyoshesha, ukimgusa mzee baba utakuja kujuta, labda umlarue kwa 'ndom'!

Sasa hapo sijaelewa wa kwako yupo kundi lipi!

Hata hivyo mbona mapema sana, kulikoni?
 
Mpak leo hii nimevumilia sana mkuu
Kama ameshakauka hakuna tatizo mkuu, kula vyako tu,

Hata kama damu ikikata baada ya wiki moja toka ajifungue unakua sawa kushiriki tendo, kikubwa kinachozuia kushiriki tendo ni hiyo damu tu, ila ikikata hakuna tatizo kula mema ya nchi
 
Aisee siku 40 bado namkodolea macho tu? Kwanza hata yeye anakuwa na hamu ndani ya hizo siku.
 
Du sasa huo muda wote nilikuwa nasubiri nini?
Kipindi cha kupona baada ya kujifungua hutegemea na njia ya kujifungua aliyotumia mama.
Kwa wale ambao wakati wa kujifungua waliongezewa njia kwa ajili ya kurahisisha kupita kwa mtoto (Episiotomy) au walichanika (Tear) na kushonwa, nyuzi hupotea baada ya siku 10 mwilini na wiki mbili za ziada mpaka michibuko na kidonda/vidonda kupona kabisa. Mama huyu anashauriwa kufanya staili (wakati wa kujamiana) ambazo zitapunguza kuegemewa kwa sehemu ya mshono. Staili ambazo mama hulazimika kunyanyua miguu au kukunja miguu mpaka kwenye kitovu chake ni bora akaziepuka. Anatakiwa kuwa muangalifu sana wakati wa kujamiana pamoja na kufanya tendo la ndoa kwa taratibu (slow and gentle).

Kwa mama aliyejifungua kwa njia ya kawaida (Spontaneous Vaginal Delivery, SVD) pasipo kuongezewa njia au kuchanika, kupona kwake ni haraka na anaweza kuanza tena kufanya tendo la ndoa mara tu damu inayotoka (Lochia) kuacha, mara nyingi damu hii kutoka huacha kabisa ndani ya wiki nne hadi wiki sita.

Mama aliyejifungua kwa njia ya upasuaji (Caesarean section) huwa na wasiwasi , hofu kutokana na kidonda cha upasuaji, hivyo ni vyema kwa mama huyu kusubiri mpaka nyuzi kutoka kabla ya kufanya tendo la ndoa na pia azingatie kufanya kwa utaratibu (gentle).Staili zitakazoongeza kugandamizwa kwa eneo la mshono ni bora akaziepuka.
 
Mmmh subiri week 2 mbeleafu anza kula chimbotela hicho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom