Je, naweza kupata mnunuzi Wa kuku Wa kienyeji kutoka Singida kwa hapa Dar as salaam?

Nina kuku wengi wakienyeji kutoka singida Nahitaji kupata namba za mtu anaenunua kuku hapa dar as salaam mfano kuku 40 kwapamoja na nimajogoo!!

NB: kuku mmoja 20,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ebu weka hata picha za hao kuku wenye unawaza 20 elfu each.
Na tuelezee kidogo hata tujue kukuwako wana uzito kiasi gani.
Nakukumbusha pia kwamba kuweka bei pekee, sio namna ama lugha njema ya kutosha kumvutia mteja
 
Back
Top Bottom