Je, naweza kupata Laptop nzuri kwa budget ya laki nane?

Mkuu kwa uzoefu wako... Hp na dell zote zikiwa generation ya 9-10 hipi itakuwa bora sifa zikiwa zinafanana
 
Mkuu kwa uzoefu wako... Hp na dell zote zikiwa generation ya 9-10 hipi itakuwa bora sifa zikiwa zinafanana
Inategemea. Haijalishi company inategemea model hyo ya laptop inaweza kuhandle na kushusha temperature za CPU. Kma laptop ina cooling mbaya performance yake lazima ipingue (au wao wenyewe wanapunguza). Kma laptop zote ni slim jua hazitaweza fikia uwezo halisi wa hyo CPU sababu slim laptops hazina cooling nzuri. Hyo tofaut za laptop zilizo kwenye class moja usiziwaze sana sababu ni ndogo tu. Ila uwe unapitia review za sites kma Notebook check au Anandtech ndio huwa wanaelezea vizuri performance za CPUs katika device mbali mbali
 
Nimekusoma mkuu mi nataka utofauti kati ya laptop ya hp na dell..maana nimekuta core i3 zinazofanana sifa ila ni dell ma hp... Sasa inanipa ugumu wa kuchagua
 
For sure..
 
Nimekusoma mkuu mi nataka utofauti kati ya laptop ya hp na dell..maana nimekuta core i3 zinazofanana sifa ila ni dell ma hp... Sasa inanipa ugumu wa kuchagua
Hapo unatakiwa kujua jina full la hyo CPU. Kwa mfani core i3-9100. Ukijua jina kamili la CPU zilizopo kwenye laptop hzo mbili ndio utajua ipi ni bora kuliko nyingine. Alaf kwenye laptop sio unaangalia tu CPU, kuna vitu vingine vya kuangalia pia. Mfano; backlit keyboard, display resolution and quality, battery capacity, speaker quality, n.k.

Unaweza kuta HP ina core i5 8350U na Dell ina core i7 8550u. Hii Dell itakua na uwezo uliozidi wa HP ila sio sana lakini unakuta hyo HP ina display ya IPS ya 1080p na baklit keyboard na good quality speakers kuliko hyo Dell. Sasa hapa kutokana na kazi unayotaka kufanya na hyo laptop unaweza kuta hyo HP ni bora zaidi sababu ina display nzuri na backlit keyboard wakati bado ina uwezo mzuri tu.
 
Ok ngoja nikatest la mentali... Nikipigwa fresh.

Kupotea njia ndio kuijua njia
 
Mkuuu maelezo yako ni mazuri sana ila kwa Mimi nisie na uzoefu was PC naomba nisha uri moja kwa moja nichukue PC ya aina gani na yenye specification zipi ambayo itanifaaa na nitaitumia kwa kazi za ki handisi,,bajeti isizidi 1.5M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…