Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,603
Hamna ni mchumba tu.. tuna mtoto ila hatujaoana.. But nimeona ni bora nimuweke yeyeMchumba au mke???
#WAHUNI SIO WATU WAZURI
Sawa mkuuHamna ni mchumba tu.. tuna mtoto ila hatujaoana.. But nimeona ni bora nimuweke yeye
si umuoe tu, kwani bei gani!Hamna ni mchumba tu.. tuna mtoto ila hatujaoana.. But nimeona ni bora nimuweke yeye
Sawa mkuu, hiyo lakini ni mada nyingine... nishauri kwanza hicho hapo juu kama una uzoefu?
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu nimepata hapa kidogo, naomba nikuulize kama hautojari. Ikitokea mumeanzisha kampuni afu share holder mmoja akazingua, na hataki kuuza share yake anataka mgawane kampuni pamoja na asset zake hii imekaaje?Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
Asante mkuu nimekuelewa.. Itabidi nimuweke pia na mtoto wangu kama inaruhusiwa maana kwa upande wangu itanisaidia sana kimkakatiUmekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
Kwani kuna shida gani?Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mchumba na kampuni wapi na wapi? kama vipi weka nduguzo wa damu.Kwani kuna shida gani?
Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK kabla sijakushauri hakikisha kwanza umemuondoa huyo unayemuita "mchumba" kwenye umiliki. Ukimaliza nijulishe nikushauri.Sawa mkuu, hiyo lakini ni mada nyingine... nishauri kwanza hicho hapo juu kama una uzoefu?