Je, naweza kumuweka mtoto wangu wa miezi mitatu kama mwanahisa kwenye kampuni yangu?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,599
Habarini wakuu,

Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu.

Ila sasa kuna kitu sijakipata vizur, kwenye memart nilitaka nimuweke mchumba wangu tuwe wawili kama shareholders ila sasa nikafikiria kumuongeza na mtoto wangu lakini yeye bado ni mdogo.

So kwa wale waliowahi kuregister kampuni, naweza nikamuweka hata mtoto wangu mana bado ni mdogo. Ama nibaki tu mimi na mchumba wangu?

Asanteni sana
 
Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
 
MKUU,

TANGU UZALIWE LEO UMEONGEA KITU CHA MAANA SANA!!!

HUU ND'O USHAURI WA MAANA KULIKO SHAURI ZOTE KWA UZI HUU!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
Kuna kitu nimepata hapa kidogo, naomba nikuulize kama hautojari. Ikitokea mumeanzisha kampuni afu share holder mmoja akazingua, na hataki kuuza share yake anataka mgawane kampuni pamoja na asset zake hii imekaaje?
 
Umekariri vibaya,company mkizinguana si unatafuta mtu mwingine anunue share zake na biashara inaendelea kama kawa.
Naantombe Mushi inawezekana ila hataweza kuingia mikataba itabidi awe na msimamizi.
Asante mkuu nimekuelewa.. Itabidi nimuweke pia na mtoto wangu kama inaruhusiwa maana kwa upande wangu itanisaidia sana kimkakati
 
Mambo mengine ni makubwa, yaani uweke mchumba kwenye kampuni basi bado akili yako nyembamba sana, usije sema hukuambiwa japo hata kuuliza swali umetisha, mchumba? hawa wa tz wa pesa na magari? muoe umweke kwenye kampuni au futilia mbali kabisaa, swali lako zuri kuhusu mtoto, anaruhusiwa kuwa na hisa, nunulie tu ila kwa vile ni minor/wewe ndio unakuwa caretaker hadi afike 18+
 
Naunga mkono 100% usimuamini mwanamke haswa mchumba tu mi hata mke si muamini sembuse mchumba yametukuta wenzio tunakukingia kifua kama mwanamme mwenzetu ni hayo mi mpita njia
Mchumba!!??
Usijaribu mkuu angekuwa mke sawa.
Muweke mwanao.
Ukiona vipi mara elfu umuweke mzazi wako au nduguyo wa damu kuliko hicho unachotaka kukifanya.
Usijesema hatukukwambia lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom