Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

Joined
Aug 5, 2025
Posts
5
Reaction score
3
Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
 
Ndio, kigezo uwe na ufaulu DDDD iwemo ya fizikia na Hesabu kwenye masomo ya shule ya upili.
 
Sawa kama una nia ya dhati ya kuendelea na masomo ya stashahada, kasome Karume Institute of Science and Techonology (KIST), Zanzibar wao wanatazama VC3 tu
Sawa nashukuru kwa majibu yaka kiongozi lakini mimi nahisi kama nimepoteza sifa za kuendelea mana sikufanikiwa kusoma fizikia shule ya upili
 
Huko level 3 hiyo VC3 aliipataje ikiwa o level hakusoma phys? Huu ndo uhuni wenyewee.
Lol
Veta huwa kuna masomo ya ziada tofauti na fani unayosomea sasa miongoni mwahayo masomo moja wapo huwa ni engineering science ambayo husimama kama phys o level
 
Huko level 3 hiyo VC3 aliipataje ikiwa o level hakusoma phys? Huu ndo uhuni wenyewee.
Lol
Ukijiunga na VETA ngazi ya Level 1&2 unasoma Physics kule inaitwa Engineering Science. Ukifaulu mtihani wa CBA (Competence Based Assessment) unapata VC2 kigezo cha kukufanya ujiunge na Level 3 ambapo utasoma masomo 5 pekee, somo la Physics halipo kwa ngazi hiyo. E/L ina hesabu zake sio kuanza kusoma mambo ya DENSITY huko Diploma wakati mahesabu kwenye Kozi ya umeme ni mengi
 
Ooooh hapo sawaa.
 
Back
Top Bottom