Je naweza kuishitaki tbc1? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je naweza kuishitaki tbc1?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by msani, Oct 24, 2011.

 1. msani

  msani JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Zanzibar wanakumbuka siku ya mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1963
  hapa kuna maadhimisho ya miaka 50 ya tanganyika,lakini wakati wa muungano tanganyika ilikufa kulingana na serikali inavyodai,kwa maana kwamba na zanzibar nayoi ilikufa??!!!
  Kwanini kusiwepo na maadhimisho ya ya mapinduzi ya tanzania visiwani na uhuru wa tanzania bara?
  Je tunaipotosha historia ya tanzania au mie ndio nachanganya mambo hapa na je kuna uwezekano wa kumshitaki anyeupotosha umma kwa vyombo vyake vya habari ikiwa ni pamoja na kumuita edward lowasa eti waziri mkuu mstaafu wakati alijiuzulu kwa tuhuma nzito na akautangazia umma na huyu msela j akamkubalia
  hawa tbc 1 wanaudhi
   
 2. W

  Wababa Senior Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu hili li nchi ni la k.....ng sana achana nao dawa lao inachemka jikon 2015 ni pipoz power wana hand over
   
Loading...