Bei ya trakcer ni laki moja na themanini (180,000).inajumuisha pamoja na ufundi
. Inatakiwa usajili laini mpya pia ya simu kwa ahili ya kuweka kwenye hiyo GPS. mwaka wa kwanza hamna charges zozote .Kuanzia mwaka wa pili kutakuwa na gharama ya 30,000 kwa ajili ya App ya simu ya mkononi. Pia utawajibika kurushia salio kwenye line yako ya simu ya mkononi