Nimeshasamehe.. ninataka kununua TV nyingine, lkn kabla ya kuinunua nataka kujua nawezaje kuiprotect wasije kuchukua tena?Samehe tu
mkuu, tafuta nyingine tu ndio ishatoka iyo,naweza kulock mtu mwingine asiweze kuitumia?
Nataka kununua nyingine. Lkn nataka kujirishisha kwanza nitumie mbinu gani.. incase wakija tena washindwemkuu, tafuta nyingine tu ndio ishatoka iyo,
wanai-dismantle TV kesho unakuta spare parts mtaa wa Uhuru
Nataka kununua nyingine. Lkn nataka kujirishisha kwanza nitumie mbinu gani.. incase wakija tena washindwe
Najaribu kuwaza locally; vipi ukiifunga kufuli lenye alarm kwa nyuma ili ikitikisika tu ipige kelele? Kama ni usiku at least utaamka au itamshtua mwizi.Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu
Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi naweza kulock mtu mwingine asiweze kuitumia?
Wenzangu nipeni maujanja, Tv zenu mnaziprotect vipi na hawa Vibaka?
It makes sense mkuuNajaribu kuwaza locally; vipi ukiifunga kufuli lenye alarm kwa nyuma ili ikitikisika tu ipige kelele? Kama ni usiku at least utaamka au itamshtua mwizi.
View attachment 1736933
Au ubandike hizi 'vibration detector'
View attachment 1736947
Yes. Nilikuwa sijaifunga ukutani mkuuMkuu hukuifunga ukutani? Au wamefungua?
Gharama zake zikoje kww tv ya 1.5MKaribu ISECURE TECHNOLOGY TUKUFUNGIE GPS KWENYE TV
Mkuu nilikuwa offline sikuweza kukujibu mapema , Gharama ni 150,000 tu, ni kwa mara moja tu hakuna gharama nyingineGharama zake zikoje kww tv ya 1.5M