donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.Hii notification inanikera Sana, kila muda unatokea mi nafanya kuisogeza masaa mawili mbele vipi naweza kuidisable kabisaView attachment 1704604
Haikubali tatizo kuchagua data na Mimi sitaki kumannualy ingia play store Ni update all appsHabari donlucchese
Hiyo ni setup updation ya simu janja yako, na hapo kuna maongezo au ingizo jipya kimuenekano na usalama.
Bofya hapo kisha chagua "Tumia Data" badala ya WI-FI na ufuate maelezo haichukui dakika 5 utakuwa umemaliza na kupotea.
Check mkuu hamna option ya dataHabari donlucchese
Hiyo ni setup updation ya simu janja yako, na hapo kuna maongezo au ingizo jipya kimuenekano na usalama.
Bofya hapo kisha chagua "Tumia Data" badala ya WI-FI na ufuate maelezo haichukui dakika 5 utakuwa umemaliza na kupotea.
Kureset jau mkuu na hiyo unayosema nimeshajaribuHyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.
Kuitoa hapo zima data, connect kwenye wifi na utoe Google account yako. Kisha restart simu na utumie hyo wifi tu(usiwashe mobile data) kurudisha account yako na kuset kila kitu ndio itaondoka.
Au unaweza disable hyo Android setup ukaipotezea. Shikilia hyo notification, kisha bonyeza icon ya kma settings hvi itatokea, then itakapofunguka bofya icon ya hyo Android setup baada ya hapo utaona option ya disable
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Tafuta kwenye Settings ^Third Party Syncronization^ halafu nakutumia code fulani, kisha utabofya kwenye ^Share Data^ hapo utakuwa umeondoa tatizo kabisa.
Sio kureset. Kutoa gmail kwenye account settings. Pia hapo kwenye hyo screenshot unaweza bonyeza hyo alama ya (i) ukaenda disable hyo Android setup (sio kuzima notification, kudisable kabisa)Kureset jau mkuu na hiyo unayosema nimeshajaribuView attachment 1704682
Oops! Tumia ushauri wa racka98 kama alternative ya tatizo. Binafsi nilikupa wazo la 1 (Without Removing the Important Mail) katika simu.Check mkuu hamna option ya data View attachment 1704679
Hah! Wi-Fi Settings ukibofya inafungua nini kabla ya kuruhusu matumizi ya WI-FI?Check mkuu hamna option ya data View attachment 1704679
Mkuu nimezingatia, solved [emoji120][emoji120][emoji120]Hyo message huwa inatokea mwanzo unaposetup simu yako kma hujaconnect WiFi.