Je nawewe umechaguliwa chuo ambacho hukuomba?

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Nataka kujua hivyo kwasababu mdogo wangu kapelekwa IFM ambako hakuomba kabisa, na hakuna kozi hata moja alizoomba.
kama ndo hivyo kulikuwa na ulazima wa kuomba vyuo na kuchagua kozi, huu usumbufu tu.
nataka kujua plz, jitokeze kama una tatizo kama hili.
 
Hadi sasa nimeckia malalamiko kutoka kwa rafik zangu wawil,, na wote wamepelekwa ifm kwa coz ambazo hawajachagua!
I dn know hawa tcu wanamaana gani kutoa eight choice!, halafu cha ajabu zaidi kwenye coz walizochagua kuna available slots!
 
Hapa mi nadhani kuna uchakachuaji, alafu utasikia hakuna mkopo.,
kuna aja ya kufuatilia hili jambo mapema la sivyo tutaumia!
 
Back
Top Bottom