Je,nasi tutafika huko?

Je,nasi tutafika huko?

Kwa nini iwe hivyo?
Nmesema hapo juu, Shirika la Afya Dunian mpaka kufikia mwaka jana ,takwimu za urefu wa maisha kwa mtanzania ilikua ni
[emoji117]Mwanaume miaka 62.0
[emoji117]mwanamke miaka 65.8 .

Sasa kwa haraka haraka, hao wa kama iyo picha yakwanza ni 1968 hapo walikua na above 20 .. Mpaka 2018 miaka 50 imepita so jumla walikua namiaka 70+ .

NB...izo hesabu ni zao macho madogo.

Turudi kwetu sasa, iyo miaka 70 sio life expectancy yetu ...hata tukisema ni miaka 65 bado mwanamke ndo anauhakika .

Ndio maana nasemaje, Wee hautafika ila atakayefika ni Mama mjane wako [emoji23][emoji23][emoji23] . Labda tuzungumzie kufika ktk muktadha wa Uzee wa kibongo yaan miaka 55 tayar mtu ni mzee hapa, mke namume, wanaweza kua kama hao wajapan.


Nazengua mkuu , izo ni takwimu tu za utafit, ila Mungu ndo yote

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Hamna huwez fika

Umri wa kuishi kwa mwanaume wa bongo ni mfupi kuliko Mwanamke wa kibongo.

Kwaiyo, picha ya kwanza unaweza kuwepo.....ila iyo ya chini, fanya kuiedit ujitoepo, ubakishe mama mjane akijiendea sokoni na kapikipiki.kake[emoji23]

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Hahahahaha

"Enough of No Love"
 
hilo jambo linawezekana ila hizo picha sio za mazingira yanayofanana, ukiangalia hizo chuma juu na chini hazifanani nyingine zimepinda kwa juu na nyingine zimenyooka so si kweli hiyo picha
 
Back
Top Bottom