Je nani mchokozi: HTC au iphone?

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,701
Nimeikuta hii. Ktk pitapita za mtandaoni... nataka nijue nani ka mcopy mwinzie. Na kitendo kama hiki.... kunakuwa na tozo au faini? Manake huu ni uizi wa idea.



I am team android. But i like apple tho.
 
usisahau hio idea ilianza kuonekana na htc m7 kwanza


so wanaigiliziana tu.

simu siku hizi innovation ni zero wamekazania tu kuigiliziana na kuongeza namba za core na ram
 
Tusubiri iphone 7 mwakani.
Ya mwaka huu ina ukakasi kwa upande wangu.
 
usisahau hio idea ilianza kuonekana na htc m7 kwanza


so wanaigiliziana tu.

simu siku hizi innovation ni zero wamekazania tu kuigiliziana na kuongeza namba za core na ram


Fafanua zaidi. Sijakuelewa

Sasa si zinafanana maumbo tu kila moja os yake

Mkuu umbo linamata ukiachana na os. Hujui hilo?



mi mbona sijaelewa hapo
mimi pia mkuu



Tusubiri iphone 7 mwakani.
Ya mwaka huu ina ukakasi kwa upande wangu.

Tatizo una ukakasi na tim cook tu mkuu
 
AgentX

Hii hapa htc one iliotoka 2013 mwanzoni na pembeni yake Ni iPhone 6 ambayo imetoka miezi 18 baadae



Apple ndio amemcopy HTC na sio viceversa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…