Je, na mimi ni jipu??

Sijui ningefikaje hapa kama nisingekuwa na akili.....

All about life.. Jipe moyo kubali kupokea chochote kisha usishau kumuomba Mungu juu ya matabaka yote yalio katika mchakato wa maisha. Uta win
 
wewe ni zaid ya jpu, maana yake nkwamb wewe sio jpu ten bali umekuwa kdonda sasa, so unahitaji kutibiwa badala ya kutumbuliwa.
 
Nipo huru sasa kama Bashite....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…