Je, na mimi ni jipu??

Kwa ujipu wewe ni jipu kubwa tu...
Hapo kwengine ngoja wenye ushaur waje kushaur..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijsom hii thread mimi na wala siishi mtaa huu!
 
Wewe ni jipu hatari....nipe contacts zako haraka sana. Hapo ulipo kuna kituo cha polisi karibu na wewe, kama kipo nenda kajisalimishe haraka sana. Kazi si ishu kwani hata kuuza mihogo ni kazi pia.
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Hahaha yan we jamaa na iyo id yako kwa hili sio wa kukuacha kabisa maana hili lako sio jipu bali ni jipu lililodevelop na kuwa uvimbe.Unatafuta huruma hapa nyinyi ndo mmelifikisha hili taifa hapa
 
Jamani yeye kaja kuomba ushauri nashangaa mmeshikilia jipu jipu jipu. Hata nyinyi mnaomuita jipu ni majipu pia hamjajitangaza tu.
 
Hajui kwamba wakimfuatilia hapa kuwa wanweza kumjua kiulaini na umtumbua..!
Teh teh!

Kwa hiyo wewe Ukitaka asijulikane?
kama hivyo ndivyo wewe ni Busha sio Jipu tena
 
Hahaha yan we jamaa na iyo id yako kwa hili sio wa kukuacha kabisa maana hili lako sio jipu bali ni jipu lililodevelop na kuwa uvimbe.Unatafuta huruma hapa nyinyi ndo mmelifikisha hili taifa hapa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…