Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 851
- 1,406
unaweza kudondokea kwenye sayari ya Pluto.
Ndugu, mabara hayaelei kwenye maji ya bahari ila maji ya bahari ndio yanaelea kwenye continental kwa maana ya sakafu/ardhi ya chini ya bahari.View attachment 613135
View attachment 613136
UKICHUNGUZA VIZURI UTAGUNDUA HAPO CHINI NI MAJI TU,
KWA HIYO NI KAMA ARDHI INAELEA .
Kuna makala nilisoma kuna mtu alikuwa akichimba lengo likiwa kukata na shoka ule muhimili wa dunia ambapo dunia huzunguka ili dunia ishindwe kuzunguka kwenye muhimili wake.Alichimba kama kilomita moja kwenda chini aliyoyaona huko chini ya ajabu alijistukia yuko juu ya dunia akiwa mwehu.Wako wengi wamejaribu lakini hukutana na maluwe luwe mengi ndio maana wamejikita zaidi kwenda anga za juu kuliko kuchokonoa huko chini ya dunia.huko chini ni balaaUtatokea upande wa pili kama kweli utaweza kuchimba na hilo shimo liwe na urefu wa km 13,000
Sometimes nakaa na kuwaza na kukosa jibu juu ya umbo halisi la dunia. Wanasayansi wanadai dunia ni duara na inaelea hewani, je upande wa chini ya dunia kuna anga kama ili tunaloliona juu au kuko vipi?
Ukichimba ardhi ni umbali kiasi gani kuweza kufika mwisho wa ardhi ya dunia kwenda chini? Ukiangalia picha/mwonekano wa dunia kutoka ISS inaonekana ni kama duara kwa juu tu na picha yake inaonesha mabara yote yamekaa sehemu ya juu ya duara, je wameshindwa nini kupiga picha dunia halisi kwa kuzunguka mduara wote hadi upande wa chini
Mwenye ufahamu kamili kuhusu uhalisia wa umbo la dunia anijuze
Nawasilisha
Kuna makala nilisoma kuna mtu alikuwa akichimba lengo likiwa kukata na shoka ule muhimili wa dunia ambapo dunia huzunguka ili dunia ishindwe kuzunguka kwenye muhimili wake.Alichimba kama kilomita moja kwenda chini aliyoyaona huko chini ya ajabu alijistukia yuko juu ya dunia akiwa mwehu.Wako wengi wamejaribu lakini hukutana na maluwe luwe mengi ndio maana wamejikita zaidi kwenda anga za juu kuliko kuchokonoa huko chini ya dunia.huko chini ni balaa
HII PICHA HUWA MARA NYINGI HAIONESHWI YAA NI HUKO CHINA NA NYUMA YAKE KUUNGANA NA MAREKANI . JE KUNA SABABU YOYOTE? MAANA HIYO NDIO SABABU HUYU ALIULIZA HUKO NYUMA KUNA GIZ? HATUONI PICHA ZA DUNIA ZINAZOONESHA MAENEO hayo kama ulivyonesha hapo. ndo maama ya swali hili kujitokeza.Naona kadhaa wametoa majibu sahihi kabisa. Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa tafiti za kisayansi kuhusu mambo ya astronomy n.k. Kuna mengi bado tunayatafiti.
Kuhusu dunia. Kwanza dunia na sayari zote zinazozunguka nyota ya(inayoitwa) JUA(SUN), zote ni duara(linaweza lisiwe kamili yaani oval etc)
Kwa hiyo kwa tukiangalia dunia kama tumetoka nje yake(nje ya atmosphere na kwenda kwenye space ambapo nguvu ya uvutano kuturudisha duniani inakuwa ndogo au hakuna kabisa) tutaiona dunia kama duara* na tutaona bahari na nchi kavu ikiwa imetokeza juu ya bahari.
Maana yake kwa picha rahisi ukiliangalia chungwa halafu ukishika lile gamba ndio let say bara la Africa, ukichukua sindano ndefu ukaichoma pale kuelekea upande wowote wa chungwa, utatokea upande mwingine kwenye uso wa chungwa.
Ukiamua kuchoma kuelekea katikati ya chungwa na kuendelea utatokea upande mwingine
Ukiamua kuchoma kuelekea direction yoyote tu utatokea mahala kwingine kwenye uso wa chungwa.
Vivyo hivyo kwenye sayari yetu ya dunia(kama umbo duara). Unaweza kutoboa na kule utakapofikia kukawa na maji juu yake. Maana yake umepita kama ni bahari, basi sea floor/bed na hapo juu ni maji tu ila kile kifaa chako cha uchimbaji mwisho kitatokea mahala juu ya maji(ile bit). Au ukafika kwenye nchi kavu kabisa.
Mara nyingi katika technology ya uchimbaji tunafanya Vertical drilling au Directional Drilling...(ngoja niishie hapa kwa sasa ila natumai umenielewa kwa maelezo yote hapo juu)
View attachment 613165
mkuu ile picha ya dunia ni kama imepigwa upande wa juu,chini ,mashriki na maghaibi,then ndipo wakaziunganisha na kupata picha mojaKama dunia ni duara kipenyo cha dunia ni ukubwa gani? Kwamba ukichimba shimo LA urefu kiasi gani ndo utatokea upande Wa pili? Halafu hizi picha za dunia tunazoonueshwa mabara tote yapo juu ni picha halisi za dunia yetu kwamba upande Wa pili Hamna kitu au!?
mkuu ile picha ya dunia ni kama imepigwa upande wa juu,chini ,mashriki na maghaibi,then ndipo wakaziunganisha na kupata picha mojaKama dunia ni duara kipenyo cha dunia ni ukubwa gani? Kwamba ukichimba shimo LA urefu kiasi gani ndo utatokea upande Wa pili? Halafu hizi picha za dunia tunazoonueshwa mabara tote yapo juu ni picha halisi za dunia yetu kwamba upande Wa pili Hamna kitu au!?
KWA NINI POPOTE UKICHIMBA KISIMA KWENDA CHINI SANA UNAPATA MAJI,NA UMESEMA MAJI YANAELEA JUU YA ARDHI TU.Ndugu, mabara hayaelei kwenye maji ya bahari ila maji ya bahari ndio yanaelea kwenye continental kwa maana ya sakafu/ardhi ya chini ya bahari.
Kama mtu mmoja angeweza kuyakausha kabisa maji yoye ya bahari tungeona dunia ikiwa na ardhi kubwa yenye mabonde, na miinuko, haya mabara na visiwa tulivyonavyo ingeonekana kama sehemu za uwanda wa juu au milima, maji yakikauka dunia nzima inabaki kuwa na bara moja tu kwa maana ya muunganiko wa mabara yote.
Inabidi kutoa shule murua maana kuna mengi sana sana ambayo kumbe wengi hawayajui.KWA NINI POPOTE UKICHIMBA KISIMA KWENDA CHINI SANA UNAPATA MAJI,NA UMESEMA MAJI YANAELEA JUU YA ARDHI TU.
DaaahAnza kwa kuchimba chungwa/tikiti.
Udongo unatokana na miaka mingi ya mmomonyoko wa miamba pamoja na vitu vingine Kama mabaki ya viumbe hai.KWA NINI POPOTE UKICHIMBA KISIMA KWENDA CHINI SANA UNAPATA MAJI,NA UMESEMA MAJI YANAELEA JUU YA ARDHI TU.
NAYAFAHAMU HAYO MKUU ILA NAFIKIRI KWA NJE YA BOX TU.Inabidi kutoa shule murua maana kuna mengi sana sana ambayo kumbe wengi hawayajui.
Sijasema kuwa maji yaliyopo duniani ni hayo tunayoyaona ambayo yako juu ya seafloor(kama ni bahari), La Hasha!
Miamba inayotengeneza ardhi mpaka juu yetu ilitengenezwa na inatengenezwa kwa mfumo wa deposition.
Kuna baadhi ya miamba ni milaini na mingine ni migumu. Hii milaini inakuwa na uwazi ndani - pores, na huu uwazi uhifadhi maji, mafuta, gesi na vimiminika vingine kama vipo.
So chini ya ardhi, kwenye miamba(piga picha mfano wa mwamba kama sponji - sponji lililo na maji ndani yake), baadhi ya miamba inakuwa na maji! Ambayo hayo maji yanakuwa yametoka kwenye chanzo fulani ambacho labda sababu ya ufa yakaenda mpaka kwenye huo mwamba. Na sababu labda mwamba wa chini yake ni mgumu(seal rock) so maji yakashindwa kwenda zaidi na kukaa kwenye huo mwamba laini na ukichimba ukayakuta.
Cha kukushauri jaribu kupitia vitu taratibu na uwe umetulia(kama haukuwa na background ya skuli ya hizi vitu). Ila pia ninaweza kukupa links kadhaa zitakazo kusaidia kusoma na kupata mwanga.
NAYAFAHAMU HAYO MKUU ILA NAFIKIRI KWA NJE YA BOX TU.