Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
We leo umekula?Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Ukafirini? Astakhafirullah...!Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Wapi huko?ndio
Huo mwezi wa makka hatuujui mbona unapoonekana huku mwanzo hawafati km hujaonekana tunamaliziaMwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Acha kuongea upuuzi na vitu usivyovijua Kaffir labda ni wewe mpuuzi . Unapajua ukafirini ?Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
Hajui anachokiandika ni wakumpuuza tu ?Ukafirini? Astakhafirullah...!